Pendael6410
Senior Member
- Oct 18, 2012
- 154
- 214
Naomba niangalizie GEOFREY ELPHAY MALILA nipo mbali sanaaa.sorry!
MKUU Pendael6410,naomba uniangalizie jina la Elias M Missoke kwenye orodha ya uhamisho january 2014 :tafadhali,nisaidie nipate jibu
Antimo M.MvilleNaomba niangalizie Antimo Michael
naomba uniangalizie jina elias m missoke amepata uhamisho januari 2014.naomba jibu
Kaka mambo. Naomba uniangalizie salum mpapalia km yumo. Halafu barua zimeshatumwa kwa wakurugenz