Uhamisho wa watumishi 2013/2014

Uhamisho wa watumishi 2013/2014

Naomba msaada kujua namna ya kufanya mimi ni mwalimu mwenye diploma ya elimu na nimeajiriwa serikalini,lakin nimehitimu Ba Economics mwaka jana,naweza kubadili kazi kwa mtindo upi?
 
Hivi ucheleweshaji ea namna hii unasababishwa na nini hasa,kama kuna anayejua sababu aziweke hapa ili zijulikane kwa wote.
 
Mkuu Pendael6410 naomba niangalizie jina la rafiki yangu.
BWIMIKO MWANGOSI.
samahani kwa usumbufu.
 
Last edited by a moderator:
niangalizie jina la elias m. missoke kwenye uhamisho january 2014,tafadhali
 
Naomba uniangalizie kwenye uhamisho january 2014 jina la elias m. Missoke kama lipo
 
MKUU Pendael6410,naomba uniangalizie jina la Elias M Missoke kwenye orodha ya uhamisho january 2014 :tafadhali,nisaidie nipate jibu
 
Thnx kwa alie anzisha Uzi huu tumepean taafa kwa kupeana moyo na sasa imekua kweli na tumefanikiwa kuhama, Ahsanten wote
 
naomba uniangalizie jina elias m missoke amepata uhamisho januari 2014.naomba jibu
 
naomba uniangalizie jina elias m missoke amepata uhamisho januari 2014.naomba jibu

Elias Missoke kutoka Serengeti kwenda Mwanza jiji
Amefanikiwa,
Please majina yamepostiwa kwenye web ya tamisemi tangu jmosi so muangalie huko
 
Back
Top Bottom