Uhamisho wa watumishi 2013/2014

Uhamisho wa watumishi 2013/2014

Mzi2 Mpole

Member
Joined
Jul 1, 2012
Posts
15
Reaction score
2
Habari za majukum wadau wa jf. Naomba kupata msaada kama kuna mtu ana taarifa za uhamisho wa watumishi waliomba kuhama desemba 2013 na kutakiwa kuhama january 2014 taarifa rasmi ya uhamisho wao inatoka lini maana tamisemi wapo kimyaa..
 
hata sijui kunann mkuu, mwenyewe nasubiria wife ahame ila kimya hadi leo daaah!! sijui kuna nini
 
Habari za majukum wadau wa jf. Naomba kupata msaada kama kuna mtu ana taarifa za uhamisho wa watumishi waliomba kuhama desemba 2013 na kutakiwa kuhama january 2014 taarifa rasmi ya uhamisho wao inatoka lini maana tamisemi wapo kimyaa..

Subira tu mkuu. Watatoa, weng 2nasubr
 
Kwa atakaye pata taarifa atujuze hapa jamvini nami pia nasubiria wakuu
 
Naisubiri sana. Nimechoka kujipikia coz my wife hajapata uhamisho na mimi nimestaafu.
 
Habari za majukum wadau wa jf. Naomba kupata msaada kama kuna mtu ana taarifa za uhamisho wa watumishi waliomba kuhama desemba 2013 na kutakiwa kuhama january 2014 taarifa rasmi ya uhamisho wao inatoka lini maana tamisemi wapo kimyaa..

Ahada haaa ahaa, jf!
 
nlipata tetesi kwamba kile kitabu cha orod
ha ndo kilikua kinaandaliwa wk iliyopita, tusubiri hizi siku kadhaa, manake imeingiliana na hizi s/kuu
 
mi mwenyewe wife anasubiria kuhama,nimecheki jana tamisemi hakuna kitu
 
Kuna kaz kwel mwaka huu, wife alienda h\shaur jana kuangalia km kuna chochote kutoka tamisemi akarud tupu, itakuwa bado. Lkn hapa kuna irresponsibility,tangia december had leo. Mmmmh
 
this is a tanzania mipango ipo ila utekelezaji ni poor wengi tunasubiria uhamisho ila mpk ss tamisemi wapo kimya
 
Back
Top Bottom