Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habari za majukum wadau wa jf. Naomba kupata msaada kama kuna mtu ana taarifa za uhamisho wa watumishi waliomba kuhama desemba 2013 na kutakiwa kuhama january 2014 taarifa rasmi ya uhamisho wao inatoka lini maana tamisemi wapo kimyaa..
Antimo M.Mville
Umefanikiwa kwenda mji wa Makambako kutoka Namtumbo
Japo hujaniuliza mimi, nimeamua tu kujitolea tu, naomba unuambie jina la Mkoa unapotoka tu , nashindwa kufanya searching ya majina kwenye Pdf file!Mkuu Pendael6410,naomba unisaidie kunichekia MARY.S.CHEGAMO....Kamchina kangu kamekataa kufungua

wote wana jf.niangalizie ALHAJI KUJI kutoka mkoa wa geita wly chato kwenda tanga.na ritha emmanuel mlay toka bunda mara 2 tanga
wote wana jf.niangalizie ALHAJI KUJI kutoka mkoa wa geita wly chato kwenda tanga.na ritha emmanuel mlay toka bunda mara 2 tanga
Mkuu Pendael6410,naomba unisaidie kunichekia MARY.S.CHEGAMO....Kamchina kangu kamekataa kufungua
Kaka niaje? Naomba uniangalizie huseni namenya na saidi hasan kama wamepata uhamisho.
Kaka samahan kumbe ilikuwa ni saidi h mangando.,co said hasan