Mr Mjs
Member
- Mar 22, 2024
- 29
- 20
Kuna jamaa yangu ameomba uhamisho wa kubadirishana kupitia kwenye mfumo wa ESS toka mwaka jana mwezi wa nne ila cha kushangaza hadi sasa status inasoma TAMISEMI na hakuna jibu na hajui ni lini ataweza kujibiwa.
Ikumbukwe kuwa Serikali iliamua kuachana na Uhamisho wa manual na kuanzisha ufumo wa kuomba uhamisho kupitia online ambapo mtumishi ataweza kujibiwa na kupatiwa barua yake ya kubadirishiwa kituo kupitia account yake ya ESS na yeye kwenda kuripoti kwenye kituo chake kipya. Lakini hadi sasa wengi wamebaki wakishangaa kuona hawapati majibu mbali na kufata taratibu zote za kwenye mfumo. Wengine inakata mwaka sasa toka waombe uhamisho.
Swali ni Je, ni nini kinakwamisha jambo hili?