Uhamisho wa watumishi kwenye mfumo wa ESS ni kitendawili kisicho na mteguo

Mr Mjs

Member
Joined
Mar 22, 2024
Posts
29
Reaction score
20
Kuna jamaa yangu ameomba uhamisho wa kubadirishana kupitia kwenye mfumo wa ESS toka mwaka jana mwezi wa nne ila cha kushangaza hadi sasa status inasoma TAMISEMI na hakuna jibu na hajui ni lini ataweza kujibiwa.

Ikumbukwe kuwa Serikali iliamua kuachana na Uhamisho wa manual na kuanzisha ufumo wa kuomba uhamisho kupitia online ambapo mtumishi ataweza kujibiwa na kupatiwa barua yake ya kubadirishiwa kituo kupitia account yake ya ESS na yeye kwenda kuripoti kwenye kituo chake kipya. Lakini hadi sasa wengi wamebaki wakishangaa kuona hawapati majibu mbali na kufata taratibu zote za kwenye mfumo. Wengine inakata mwaka sasa toka waombe uhamisho.

Swali ni Je, ni nini kinakwamisha jambo hili?
 
Huu mfumo bado ni mpya kwhy nadhani unachangamoto nyingi kama mtu anataka kuhama ni vyema asubirie walau miaka 3 hivi labda utakuwa umetengamaa na kuzoeleka vizuri.
 
Wataambiwa waende Veta wakafundishwe jinsi ya kuhama vituo
 
Huu mfumo bado ni mpya kwhy nadhani unachangamoto nyingi kama mtu anataka kuhama ni vyema asubirie walau miaka 3 hivi labda utakuwa umetengamaa na kuzoeleka vizuri.
Basi wasingesitisha maombi ya Uhamisho kwa njia ya kawaida. Maana ukipeleka uhamisho unaambiwa kaombe kwenye mfumo
 
Kuna jamaa yangu ameomba uhamisho wa kubadirishana kupitia kwenye mfumo wa ESS toka mwaka jana mwezi wa nne ila cha kushangaza hadi sasa status inasoma TAMISEMI na hakuna jibu na hajui ni lini ataweza kujibiwa.

Ikumbukwe kuwa Serikali iliamua kuachana na Uhamisho wa manual na kuanzisha ufumo wa kuomba uhamisho kupitia online ambapo mtumishi ataweza kujibiwa na kupatiwa barua yake ya kubadirishiwa kituo kupitia account yake ya ESS na yeye kwenda kuripoti kwenye kituo chake kipya. Lakini hadi sasa wengi wamebaki wakishangaa kuona hawapati majibu mbali na kufata taratibu zote za kwenye mfumo. Wengine inakata mwaka sasa toka waombe uhamisho.

Swali ni Je, ni nini kinakwamisha jambo hili?
We ndo umeomba huo uhamisho Acha kumsingizia jamaa yako
 
Huu mfumo bado ni mpya kwhy nadhani unachangamoto nyingi kama mtu anataka kuhama ni vyema asubirie walau miaka 3 hivi labda utakuwa umetengamaa na kuzoeleka vizuri.
Basi wasingesitisha maombi ya Uhamisho kwa njia ya kawaida. Maana ukipeleka uhamisho unaambiwa kaombe kwen
We ndo umeomba huo uhamisho Acha kumsingizia jamaa yako
Tulikuwa wote wakati naomba
 
Back
Top Bottom