Diva Beyonce
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 12,913
- 11,271
Kwa wale waliohamishwa kwa vibali mahalumu Bado?
Kwa wale waliohamishwa kwa vibali mahalumu Bado?
wadau samahani naomba kuuliza huu uhamisho una wahusu mpaka walimu walio tuma maombi TAMISEMI?.au nikwa wafanyakazi wengine serikali za mitaa?asanteni
Kwani kuna yanayotoka tofauti
yap na walimu
wadau samahani naomba kuuliza huu uhamisho una wahusu mpaka walimu walio tuma maombi TAMISEMI?.au nikwa wafanyakazi wengine serikali za mitaa?asanteni
Sometimes wanatoa pamoja na aina nyingine za uhamisho na pia wanatofautisha yaani kwa muda tofauti.
Mana na my sister aliomba uhamisho jina lake halipo sasa ndo nashangaa
Play store ndo nini wakuu?
Yule mkurugenzi bogus wa HAI amehamishwa?
Play store ndo nini wakuu?
ndiko application nyingi za sim hasa smart phones zinakopatikana.
Alikuwaje tena.
Ni mlevi na sio mtendaji makini!! Anawalinda wala rushwa ,huyo afisa ardhi wa hai aitwae [Mwamasage] na aliyekuwa afisa mipango miji aliyekuwepo hapo [Mwarabu] ambae amehamishiwa Rombo!!!
Wadau naombeni msaada! mwenye hayo majina naomba aniangalizie jina lifuatalo: HAMENYIMANA JOHN HIPOLITO.
hivi ambao hawakupata tatizo ni nini?labda au asa hv wakifatilia wanaweza pata mana kuna mtu ana vigezo vyote yule nlokwambia na amekosa?nsaidie mi niko dom kwa sasa nataka kesho niende nikamfatilie je atafanikiwa?
Tamisemi wametoa majina hata wale wasiofanikiwa na sababu za kutofanikiwa.
Ingawa kwenye hiyo list haijaonyesha baadhi ya majina ya waliokosa.
kweli kabisa tuwekeeni tafadhali