Uhamisho wa watumishi wa Serikali za Mitaa Juni 2014

Uhamisho wa watumishi wa Serikali za Mitaa Juni 2014

wadau samahani naomba kuuliza huu uhamisho una wahusu mpaka walimu walio tuma maombi TAMISEMI?.au nikwa wafanyakazi wengine serikali za mitaa?asanteni

Watumishi wote walio chini ya halmashauri mbalimbali nchini.
 
ndiko application nyingi za sim hasa smart phones zinakopatikana.

hivi ambao hawakupata tatizo ni nini?labda au asa hv wakifatilia wanaweza pata mana kuna mtu ana vigezo vyote yule nlokwambia na amekosa?nsaidie mi niko dom kwa sasa nataka kesho niende nikamfatilie je atafanikiwa?
 
Alikuwaje tena.

Ni mlevi na sio mtendaji makini!! Anawalinda wala rushwa ,huyo afisa ardhi wa hai aitwae [Mwamasage] na aliyekuwa afisa mipango miji aliyekuwepo hapo [Mwarabu] ambae amehamishiwa Rombo!!!
 
Wadau naombeni msaada! mwenye hayo majina naomba aniangalizie jina lifuatalo: HAMENYIMANA JOHN HIPOLITO.
 
Ni mlevi na sio mtendaji makini!! Anawalinda wala rushwa ,huyo afisa ardhi wa hai aitwae [Mwamasage] na aliyekuwa afisa mipango miji aliyekuwepo hapo [Mwarabu] ambae amehamishiwa Rombo!!!

Aisee!!! kumbe alilewa kabisa madaraka.
 
hivi ambao hawakupata tatizo ni nini?labda au asa hv wakifatilia wanaweza pata mana kuna mtu ana vigezo vyote yule nlokwambia na amekosa?nsaidie mi niko dom kwa sasa nataka kesho niende nikamfatilie je atafanikiwa?

Tamisemi wametoa majina hata wale wasiofanikiwa na sababu za kutofanikiwa.
Ingawa kwenye hiyo list haijaonyesha baadhi ya majina ya waliokosa.
 
Jamaani mwenye kuweza aniangalizie jina Maombi ncheye Yusuph toka wilaya ya Buhigwe
 
Back
Top Bottom