Mkuu geniveros km uko dodoma tafadhal nenda ofis za tamhsemi ntakuchangia nauli ukanichekie na jina la dadaangu. km umenipata contact 0757021255
Jamaani mwenye kuweza aniangalizie jina Maombi ncheye Yusuph toka wilaya ya Buhigwe
skia kwenye waliokosa yupo? km hayupo kuna uwezekano barua haikufika dodoma!mana watu wa masjala
pale kwa ras wengi wao washenzi kweli nimeongea na mtu wa tamisemi sasa hivi ndo kanambia hayo kama jina halipo kote barua haikufika
Upo sahihi kabisa...
Mi jina limetoka likiwa limekosewa badala ya MAOMBI NCHEYE YUSUPH limetoka NCHEYE YUSUGU nifanyeje natoka Buhigwe naenda SERENGETI
Nifatilie wapi?
alikuwa kada ipi? mwalimu, muuguzi au...!
subiri barua yako itakuja kwa jina gani
Yeye ni mwalimu wa Ukerewe tumeangalia jina hamna na kakaa more than ten years
Kuna majina elfu tisa wanahamishwa...so wanatoa kidogo kidogo. Now wamerusha haya ila mengine bado....this week tusubiri wanatoa mpaka ifike idadi ya watumishi elfu tisa...Mimi mojawapo jina langu ni wa elfu saba na.......hivi so msubiri. Hizo ndo facts Toka tamisemi...kuna jamaa yupo Hapo...katoa Hiyo habari kwangu...namfahamu
Umeangalia majina kwenye orodha ya majina ya watu wasiokizi vigezo, na wametoa sababu za kutokidhi.
Kuna majina elfu tisa wanahamishwa...so wanatoa kidogo kidogo. Now wamerusha haya ila mengine bado....this week tusubiri wanatoa mpaka ifike idadi ya watumishi elfu tisa...Mimi mojawapo jina langu ni wa elfu saba na.......hivi so msubiri. Hizo ndo facts Toka tamisemi...kuna jamaa yupo Hapo...katoa Hiyo habari kwangu...namfahamu
skia kwenye waliokosa yupo? km hayupo kuna uwezekano barua haikufika dodoma!mana watu wa masjala
pale kwa ras wengi wao washenzi kweli nimeongea na mtu wa tamisemi sasa hivi ndo kanambia hayo kama jina halipo kote barua haikufika
Kuna majina elfu tisa wanahamishwa...so wanatoa kidogo kidogo. Now wamerusha haya ila mengine bado....this week tusubiri wanatoa mpaka ifike idadi ya watumishi elfu tisa...Mimi mojawapo jina langu ni wa elfu saba na.......hivi so msubiri. Hizo ndo facts Toka tamisemi...kuna jamaa yupo Hapo...katoa Hiyo habari kwangu...namfahamu
Kwa ninavyofahamu, wewe na mwenzako unayetaka kubadilishana nae, kila mmoja anatakiwa kuandika barua ya kuomba kuhama, licha ya kumpata mtu wa kubadilishana nae unatakiwa kutoa vigezo yaani reasons mbili tatu, kunesha kwa nini unahitaji kuhama, hali kadhalika na mwenzako afanye hivyohivyo, baada ya hapo mkuu wako wa shule akusainie kisha peleka halmashauri yako wakupitishie, ila itabidi wewe uende ukaonekane na kusainiwa barua halmashauri unayotaka kwenda, hali kadhalika na mwenzako huyo ni hivyohivyo.......... maelezo mengine watakupatia halmashauri yako.
NB: wilaya zingine huwa wanahitaji muda uliokaa, ambao wanataka 3years, zingine si lazima huo muda.
mkuu na wale wenye matatizo ya kiafya hata kama umeajiriwa mwaka huu nilazima ufikishe vigozo vya kukaa 3miaka!?