Uhamisho wa watumishi wa Serikali za Mitaa Juni 2014

Mkuu geniveros km uko dodoma tafadhal nenda ofis za tamhsemi ntakuchangia nauli ukanichekie na jina la dadaangu. km umenipata contact 0757021255

skia kwenye waliokosa yupo? km hayupo kuna uwezekano barua haikufika dodoma!mana watu wa masjala
pale kwa ras wengi wao washenzi kweli nimeongea na mtu wa tamisemi sasa hivi ndo kanambia hayo kama jina halipo kote barua haikufika
 
Upo sahihi kabisa...
 
Upo sahihi kabisa...

yani kaka acha tu mana vigezo vyote vipo miaka5 kazini,ushapanda daraja,na vngne vyote so mi nashauri kwa wasioona majina sehemu zote mbili rudi RAS MASJALA KAKOMAE NAO WALE MBWA PALE WAKUELEZE VIZURI HAWANA UTU WANATHAMINI PESA NA KUJUANA TU.AND IF POSSIBLE GO STRAIGHT TO RAS
 
Mi jina limetoka likiwa limekosewa badala ya MAOMBI NCHEYE YUSUPH limetoka NCHEYE YUSUGU nifanyeje natoka Buhigwe naenda SERENGETI
 
subiri barua yako itakuja kwa jina gani

fuatilia Tamisemi ukarekebishe kabla siku hazijaenda, hizo ni typing error za writer. Ila Mungu si athumani barua inaweza kuja na jina lako kamili,
 
Kuna majina elfu tisa wanahamishwa...so wanatoa kidogo kidogo. Now wamerusha haya ila mengine bado....this week tusubiri wanatoa mpaka ifike idadi ya watumishi elfu tisa...Mimi mojawapo jina langu ni wa elfu saba na.......hivi so msubiri. Hizo ndo facts Toka tamisemi...kuna jamaa yupo Hapo...katoa Hiyo habari kwangu...namfahamu
 
Ngoja tusubirie na my sister naye anasubiria kwa hamu kama na yeye atakuwepo
 
Kuna majina elfu tisa wanahamishwa...so wanatoa kidogo kidogo. Now wamerusha haya ila mengine bado....this week tusubiri wanatoa mpaka ifike idadi ya watumishi elfu tisa...Mimi mojawapo jina langu ni wa elfu saba na.......hivi so msubiri. Hizo ndo facts Toka tamisemi...kuna jamaa yupo Hapo...katoa Hiyo habari kwangu...namfahamu

mmmh!yanaenda alfabetical?
 
skia kwenye waliokosa yupo? km hayupo kuna uwezekano barua haikufika dodoma!mana watu wa masjala
pale kwa ras wengi wao washenzi kweli nimeongea na mtu wa tamisemi sasa hivi ndo kanambia hayo kama jina halipo kote barua haikufika

poa mkuu tunafanyaje sasa mkuu kwa hiyo mpaka mwz wa 12? au kuna release ya mwz wa 9
 
Kuna majina elfu tisa wanahamishwa...so wanatoa kidogo kidogo. Now wamerusha haya ila mengine bado....this week tusubiri wanatoa mpaka ifike idadi ya watumishi elfu tisa...Mimi mojawapo jina langu ni wa elfu saba na.......hivi so msubiri. Hizo ndo facts Toka tamisemi...kuna jamaa yupo Hapo...katoa Hiyo habari kwangu...namfahamu

thanx mkuu kwa taarifa
 
Kwa ninavyofahamu, wewe na mwenzako unayetaka kubadilishana nae, kila mmoja anatakiwa kuandika barua ya kuomba kuhama, licha ya kumpata mtu wa kubadilishana nae unatakiwa kutoa vigezo yaani reasons mbili tatu, kunesha kwa nini unahitaji kuhama, hali kadhalika na mwenzako afanye hivyohivyo, baada ya hapo mkuu wako wa shule akusainie kisha peleka halmashauri yako wakupitishie, ila itabidi wewe uende ukaonekane na kusainiwa barua halmashauri unayotaka kwenda, hali kadhalika na mwenzako huyo ni hivyohivyo.......... maelezo mengine watakupatia halmashauri yako.
NB: wilaya zingine huwa wanahitaji muda uliokaa, ambao wanataka 3years, zingine si lazima huo muda.

mkuu na wale wenye matatizo ya kiafya hata kama umeajiriwa mwaka huu nilazima ufikishe vigozo vya kukaa 3miaka!?
 
Matatizo ya afya ni issue sensitive sana, weka vyeti sawa vyote kwa kuwasilisha eneo husika.
 
Back
Top Bottom