Nimepata kusikia huko uswahilini kuwa, eti mtoto wa kiume akidondokewa na kitovu chake ndo basi tena. Yaani jogoo halitapanda mlima. Mimi sioni uhusiano wa kisayansi hapo. Je kuna ye yote ajuaye anisaidie/atusaidie kupata ukweli wa jambo hili?
Unajuwa mambo mengi ya mila, inatakiwa utulivu sana kuelewa, na pia wakati unatafakali kumbuka mambo hayo kipindi ambacho yakitokea ni enzi hizo, tunazo ziita za mababu yaani zaidi ya miaka 1000 nyuma.Naweza kukubaliana na wewe,yaani wana-draw attention ya wazazi juu ya kidonda. Kitovu kinapodondoka hakina tena communication na sehemu nyingine ya mwili,kwanza huwa kimekufa,sasa taarifa toka kwenye kitovu mfu kwenda kwenye mwili hai ni ngumu kidogo. Kateni nondo tuendelee kufaidi.
hakika hata mimi nilisikia hivyo, lakin nilijitahidi kuuliza kwa matabibu nao walibainisha kama ifuatavyo. kuwa kitovu ni sehemu sensitive sana kwani mtoto akiwa tumboni kilitumika kupitisha chakula, hewa na mahitaji yote ya bin'Adam.
sasa kwa kuwa ni sehemu sensitive sana inatakiwa kutunzwa isipate na infection za aina yoyote kwani zinaweza sababisha madhara makubwa na hata kifo cha mtoto.
sasa matabibu wakaamua kuonyesha umuhimu wa hilo basi waliamua kuwaeleza wazazi wote wawe makini kwa hilo.
hayo ndio niliyobainishiwa na wataalamu wa afya.
ni ili kuhakikisha mtoto wa kiume anakua salama...?Hii ni mila ya siku nyingi sana, na imerithishwa kizazi hadi kizazi.
Madhumuni haswa ya kina mama kuambiwa hivyo, ni kuwataka wawe makini sana na kidonda kilichopo hapo (Kitovuni), kwani wakifanya mchezo na kidonda kikipata athali yoyote (Bacteria na Vijidudu vya Pepo punda), Mama anaweza kumkosa mtoto wake.
Ili wazazi (wakina mama) wawe makini na kumuangalia mtoto, ndio ikaja dhana hiyo ya Kitovu cha mtoto kiangaliwe sana ili kisije kumuangukia mtoto na kuwa na matatizo hayo yaliyo tajwa, na hii ni kuwa tunazingatia sana urijali na kuendeleza familia zetu.
Kitovu ni sumu mbaya, ila nami natafakari relation kati ya hayo maswali, there must some thing associated with dissolution which can be adsorbed if fall on that part and might result into serious effect to babies.Naweza kukubaliana na wewe,yaani wana-draw attention ya wazazi juu ya kidonda. Kitovu kinapodondoka hakina tena communication na sehemu nyingine ya mwili,kwanza huwa kimekufa,sasa taarifa toka kwenye kitovu mfu kwenda kwenye mwili hai ni ngumu kidogo. Kateni nondo tuendelee kufaidi.
Hii nilipata kuisikia siku nyingi kidogo ya kwamba kama mtoto mdogo ataangukiwa na kitovu(Kile kijipande cha nyama kinachodondoka baada ya kitovu kukauka na kupona siku kadhaa baada ya mtoto kuzaliwa),sasa hicho kijipande kikimuangukia sehemu zake za siri,basi kama mtoto huyo ni wa kiume hatoweza kuattain erection maisha yake yote.
Huyu aliyeniambia akazidi kusema,ndo mana wakina mama uwa makini sana vitovu hivi,vinadondokea wapi?Mnaoshinda mawodini na mahospitalini tuambieni,jee hii ni kweli na kama ni kweli what is the mechanism behind.
duh! Haya mkuu umesomekamtoto wng anadinda kama kawa after mama yake kumchezea anadinda mpaka mama yake anatamani.
Madokta na wataalam wa haya mambo ya kijamii naomba mnipe mawazo yenu kuhusu hili swala ambalo binafsi haliniingii akilini. Nimepita mikoa mingi hapa Tz na nimekutana na hii dhana ya kuwa kitovu cha mtoto kinapokatika na kudondokea sehem yake ya siri basi automatically huyu mtoto wa kiume anakuwa ******* na Kama ni wa kike basi hatakuwa na hisia za mapenzi na hatazaa. Je wataalam wa JF mnalizungumziaje hili na kitaalam kitovu kinauhusiano gani na sehemu za Siri za mtoto?
ONE LOVE