zamani wazazi waliambiwa kuwa kitovu kikidondokea kwenye sehemu za uzazi itasababisha uhanithi kuwatisha kinamama ili wawe waangalifu na kidonda cha mtoto mchanga kitovuni, wasisahau kukiangalia na maendeleo yake kuepusha vifo vya infection, lakini hakuna uhusiano
hiz imani zetu sometimes inabidi zipuuzwe sasa.. yani had mtoto akizaliwa avalishwa kidubwasha cheus kwenye mkono sjui kinakaz gan.. mbona wazungu hawafanyi hivi? na wako very bright!!
Naziheshimu sana hizi imani kwakweli kwenye kabila letu ipo sana hi kitu si ya kupuuza na kuna watu kitovu kiliwadodokea mpaka leo sio ridhiki na wazazi wanakuwa makini hata wakati mama mjazito akiumwa uchungu mwanaume uruhusiwi kufunga mkanda hvi vitu vipo sana ni kuwa makini tu ingawa madaktari watasema haina madhara vipo sana
imani kama hzo nimezikuta mpaka huku usukumani wanasemaga kama mtoto alidondokewa na kitov sehem za siri dawa yake ni ndogo tu, eti mama wa mtoto kama bdo yupo hai,anatakiwa kumlewesha mwanae na kisha kufanya mapenzi na mwanae wakitoka hapo dogo anakuwa tayar full mzuka.
Ukweli ndo huo, hizo ni mila, kunavitu viwili 1) science 2) pseudoscience. Hiyo ya pili kuiprove ni ngumu kozi ni ya kimazingara ya kimila.
Suala hilo lipo na dawa yake ni ndogo sana, ila ni ngumu sana. Km unatatizo hilo na mama yake yu hai. Ni kuchomeka uume wa mtoto kwenye uke wa mama yake tu, kitu kinarudi kwenye ubora wake na sivinginevyo. Na kama mama alisha fariki nikwenda kwenye kaburi unakaa juu ya kaburi nakuoshwa dawa flani unapona kabisa.
kama ni swala la imani za kijadi/mila,basi kuna haja ya kumpata mtaalamu wa sector hiyo atueleze hii kitu kiunaga ubaga kupitia hicho mnacho kiita "pseudescience".nadhani comrade MziziMkavu anafit ktk hili.
kituvo kikidondokea uume kwa mtoto mchanga, basi jogoo hilo litakuwa haliwiki na kama litawika basi litakuwa na walakini. Hizo ni imani za kale
Kweli tupu....Hili jibu Mods wangetakiwa kilpandisha hapo juu kwenye uzi orijino..
imani hizo kule kwetu hatuna kabisa ila huku pwani zimeshamiri sana sijui zimetokea wapi
Kwa kuanzia....Imani hii si ya kweli, japo nachelea kuiita potofu (kiSwahili kigumu sometimes). Siiti potofu kwa sababu haina hasara kwa mtoto, bali ina faida!
Dhana hii ilianza zamani za mabibi zetu walipogundua kuwa kama hutunzi vyema kitovu cha mtoto mchanga basi mtoto huyo ataugua na kufariki. Na hilo ni kweli, kwani mtoto atapata 'umbilical infection/sepsis' na kama hatapata matibabu ya haraka na stahiki atafariki kwa 'septicaemia'.
Kwa hiyo imani hiyo ilitungwa ili wamama wawe makini kuchunga kitovu kisiangukie uume mtoto akawa h*nithi, wakati huo huo mama atachunga kitovu kisipate maambukizi. Hivyo japo si kweli kwamba mtoto akiangukiwa kitovu anakuwa h*nithi, lakini uongo huo una faida kwa mtoto kuangaliwa vyema kitovu chake.