UHANITHI baada ya Kitovu cha Mtoto kukatika na kudondokea Sehemu zake za Siri

UHANITHI baada ya Kitovu cha Mtoto kukatika na kudondokea Sehemu zake za Siri

hiz imani zetu sometimes inabidi zipuuzwe sasa.. yani had mtoto akizaliwa avalishwa kidubwasha cheus kwenye mkono sjui kinakaz gan.. mbona wazungu hawafanyi hivi? na wako very bright!!
 
Naziheshimu sana hizi imani kwakweli kwenye kabila letu ipo sana. Hii kitu si ya kupuuza na kuna watu kitovu kiliwadodokea mpaka leo sio rizki na wazazi wanakuwa makini.

Hata wakati mama mjazito akiumwa uchungu mwanaume huruhusiwi kufunga mkanda, hivi vitu vipo sana. Ni kuwa makini tu, ingawa madaktari watasema haina madhara vipo sana.
 
zamani wazazi waliambiwa kuwa kitovu kikidondokea kwenye sehemu za uzazi itasababisha uhanithi kuwatisha kinamama ili wawe waangalifu na kidonda cha mtoto mchanga kitovuni, wasisahau kukiangalia na maendeleo yake kuepusha vifo vya infection, lakini hakuna uhusiano

Kweli tupu....Hili jibu Mods wangetakiwa kilpandisha hapo juu kwenye uzi orijino..
 
hiz imani zetu sometimes inabidi zipuuzwe sasa.. yani had mtoto akizaliwa avalishwa kidubwasha cheus kwenye mkono sjui kinakaz gan.. mbona wazungu hawafanyi hivi? na wako very bright!!

Mkuu siyo za kupuuza kabisa...Yani we hunguza utakuta zilikuwa na manufaa sana...Hii inaitwa Imaprt fear on them and you will win them...Soma jibu la Haika ndo utaelewa kuwa Imani hizi zina umuhimu sana...
 
Last edited by a moderator:
Dr. Riwa asante sana kwa maelezo yako kwa kuwa inawezekana wapo walionagukiwa ila wazazi wakaogopa kusema na haikuwaathiri, pia member hapo juu amesema mwanaye aliangukiwa na haikumdhuru kabisa. Hovyo tukubali kuwa ni imani ambayo ni positive katika jamii. Wale wenye experience kuangukiwa watoto nao wanaalikwa watoe hapa ili kuondoa hofu hii kubwa sana.
 
Last edited by a moderator:
Kweli tupu....Hili jibu Mods wangetakiwa kilpandisha hapo juu kwenye uzi orijino..
Hata jibu la Dr. Riwa na yule member ambaye mwanaye aliangukiwa lakini yuko fit moderator wapandishe juu kabisa plus la Haika.
 
Last edited by a moderator:
Naziheshimu sana hizi imani kwakweli kwenye kabila letu ipo sana hi kitu si ya kupuuza na kuna watu kitovu kiliwadodokea mpaka leo sio ridhiki na wazazi wanakuwa makini hata wakati mama mjazito akiumwa uchungu mwanaume uruhusiwi kufunga mkanda hvi vitu vipo sana ni kuwa makini tu ingawa madaktari watasema haina madhara vipo sana

imani kama hzo nimezikuta mpaka huku usukumani wanasemaga kama mtoto alidondokewa na kitov sehem za siri dawa yake ni ndogo tu, eti mama wa mtoto kama bdo yupo hai,anatakiwa kumlewesha mwanae na kisha kufanya mapenzi na mwanae wakitoka hapo dogo anakuwa tayar full mzuka.
 
Vipo sasa mi nilibisha na inafanya kweli ciwezi kufanya majaribio kwa mtoto hata kuna magonjwa unaenda hospital hayana dawa ila ukifata waliokuwa wanatumia zamani unapona kabisa
 
Ukweli ndo huo, hizo ni mila, kunavitu viwili 1) science 2) pseudoscience. Hiyo ya pili kuiprove ni ngumu kozi ni ya kimazingara ya kimila.
Suala hilo lipo na dawa yake ni ndogo sana, ila ni ngumu sana. Km unatatizo hilo na mama yake yu hai. Ni kuchomeka uume wa mtoto kwenye uke wa mama yake tu, kitu kinarudi kwenye ubora wake na sivinginevyo. Na kama mama alisha fariki nikwenda kwenye kaburi unakaa juu ya kaburi nakuoshwa dawa flani unapona kabisa.
 
duh yaani alale na mama yake mzazi! akinogewa je?
 
kama ni swala la imani za kijadi/mila,basi kuna haja ya kumpata mtaalamu wa sector hiyo atueleze hii kitu kiunaga ubaga kupitia hicho mnacho kiita "pseudescience".nadhani comrade MziziMkavu anafit ktk hili.
 
Last edited by a moderator:
kama ni swala la imani za kijadi/mila,basi kuna haja ya kumpata mtaalamu wa sector hiyo atueleze hii kitu kiunaga ubaga kupitia hicho mnacho kiita "pseudescience".nadhani comrade MziziMkavu anafit ktk hili.

Isome hii mada tangu mwanzo kuna wadau wameelezea vizuri kabisa.
 
Last edited by a moderator:
kudharau mila za zaman ndo kumetufikisha waafrika wengi kwenye matatizo tusyokuwa na majibu nayo! nachojua mim hapa dunian kuna mila tofautitofauti na hata hao wazungu wanazakwao. kutoziheshim ndio chanzo kikubwa cha matatizo ya watu wengi! sayansi ipo lakin kuna vingine vinagoma kuendana na sayansi hiyo. Mf: nimeshuhudia watu watatu waliotakiwa kukatwa miguu MOI, waligoma na kupelekwa kijiji kimoja pale mkuranga ambapo walitibiwa kwa mitishamba na kupona kabisa pamoja na utu uzima wao!
 
kituvo kikidondokea uume kwa mtoto mchanga, basi jogoo hilo litakuwa haliwiki na kama litawika basi litakuwa na walakini. Hizo ni imani za kale

kweli waafrika tumerogwa na iman za kizungu zinazotufanya tudharau za kwetu! Hivi mtu huwezi ku-sense halufu ya ukweli wa jambo hili hasa ukichunguza karibu makabila yote yanaelements za jambo hili!? MABALAA MENGI YANATUANDAMA KWA KUTUPA MILA ZETU NA KUAMINI ZISIZOTUHUSU!
 
Hii TZ inashangaza kweli kweli! Inaoneka badala ya vijana au watu kusoma waje kuboresha maadili na mila zetu nzuri; wanakuja na mbadala wa kuua tamaduni na mila zetu nzuri; hii kitu hata ulaya ni hivihivi! Mnaposoma na kubahati kwenda nchi za wenzetu mjaribu kuuliza baadhi ya mambo; waliokaidi haya wakitaka proof za kisayansi ndo hao walibahatika kupata watoto MASHOGA.

Ukitaka kupruvu hili jaribu kwa mwanao! Uache kudanganya umma. Mila zipo na inafanya kazi. Ingia nchi za Ujerumani, Rusia na Australia kaulize haya utapata majibu.

Tatizo vijana wengi tukienda nchi za wenzetu tunaenda kushangaa mambo ya kiteknolojia tu.
Mila zipo katika miundo mikuu 2; kiimani na maadili (hizi ndo zinazo weza kupruviwa - mfano mwanamke mwenye mimba asile mayai ati atazaaa mtoto mwenye upara - hapa mila ilitaka mtoto asiwe mkubwa kabla kumzaa kwani enzi hizo hakukuwa na upasuaji; pia hata sasa hakuna mtu anatamani kujifungua kwa upasuaji).

Lakini zote zinazo anguka upande kinzani wa imani hazina pruvu ila zipo na zinafanya kazi; ukitaka yakukute jaribu kwa mwanao uone: cha kusikitisha utakuwa umemharibu hivyo unapaswa ushitakiwa japo hakuna ushahidi.

Au uliza wazazi wako walifanyaje? Usione wewe unafanya kazi vizuri kumbe ni jitihada za wazazi wako, halafu unaponda kitu hii.
 
imani hizo kule kwetu hatuna kabisa ila huku pwani zimeshamiri sana sijui zimetokea wapi

We kwenu wapi? Hebu jaribu kuuliza wakubwa zako maana mi mwenyewe nilikuwa nasema kwetu hizo mila hazipo lakini nilipochungunza nilikuta hiyo kitu ipo na hasa kwa mabibi au wanawake kwa ujumla. Kama we ni mwanaume ni vigumu kugundua kama hiyo mila ipo mpaka uchunguze ila kwa wanawake wengi wanajua.
 
Kwa kuanzia....Imani hii si ya kweli, japo nachelea kuiita potofu (kiSwahili kigumu sometimes). Siiti potofu kwa sababu haina hasara kwa mtoto, bali ina faida!

Dhana hii ilianza zamani za mabibi zetu walipogundua kuwa kama hutunzi vyema kitovu cha mtoto mchanga basi mtoto huyo ataugua na kufariki. Na hilo ni kweli, kwani mtoto atapata 'umbilical infection/sepsis' na kama hatapata matibabu ya haraka na stahiki atafariki kwa 'septicaemia'.

Kwa hiyo imani hiyo ilitungwa ili wamama wawe makini kuchunga kitovu kisiangukie uume mtoto akawa h*nithi, wakati huo huo mama atachunga kitovu kisipate maambukizi. Hivyo japo si kweli kwamba mtoto akiangukiwa kitovu anakuwa h*nithi, lakini uongo huo una faida kwa mtoto kuangaliwa vyema kitovu chake.

So huo ugonjwa wa "septicaemia" huwa unalenga watoto wa kiume tu? Maana matatizo yaliyotajwa ktk mila yanawapata watoto wa kiume zaidi.
 
Hakuna uhusiano wa kitovu kudondokea sehemu hizo na uhanithi.
 
Back
Top Bottom