Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Wakati kama huu mnapofanya mazungumzo na Ccm, Mbowe ana umuhimu wake.
Mazungumzo na ccm ni kupotezeana muda.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakati kama huu mnapofanya mazungumzo na Ccm, Mbowe ana umuhimu wake.
Hapana, lowassa asingekua active ila Mbowe angekua ndio influencial zaidi that's why alimtaka Jussa awe makamu na pia Zitto aingizwe UKAWA maana ndio wangekua foot soldiers wake yeye akiwa anafanya oversight tu. Mbowe sio mjinga kiasi azungukwe, ni kwamba serikali ingenyoosha majizi yote ila kwa mgongo wa Mbowe maana Lowassa alikua hana cha kupoteza.CCM ingeondoka sawa, lakini mwananchi wa kawaida angenufaika vipi na utawala wa lowasa?
Utawala wa lowasa ungekuwa mbovu zaidi ya ule wa kikwete kwa mbali sana (kiuhalisia ingekuwa ni ccm inatawala kwa jina la chadema ukizingatia timu ya wasakatonge aliyokuja nayo).
Kenya walifanikiwa kuiondoa KANU, lakini wanaotawala leo ni haohao KANU, sera zilezile, tofauti majina tu.
Kilio cha wapinzani Kenya kimebaki kilekile tangu Moi akiwa madarakani.
Hizo ni dhana zisizo na nafasi kwa katiba iliyopo.Hapana, lowassa asingekua active ila Mbowe angekua ndio influencial zaidi that's why alimtaka Jussa awe makamu na pia Zitto aingizwe UKAWA maana ndio wangekua foot soldiers wake yeye akiwa anafanya oversight tu. Mbowe sio mjinga kiasi azungukwe, ni kwamba serikali ingenyoosha majizi yote ila kwa mgongo wa Mbowe maana Lowassa alikua hana cha kupoteza.
Alitokea ccm?Hoja iko wapi!
Unawaponda watu kwakuwa kabla ya kuingia chadema walikuwa kwenye vyama vingine. Huyo lisu unayemsema kama wa kwenu unajua kabla ya kuingia chadema alitokea wapi?!
Ha haaaa kwanini ndugu unatoa povu kwa watu walioko kwa ground ikiwa ww hata jina humu unatumia bandia acheni hizi mamboSwali la kipumbavu lisilohitaji jibu la heshima.
CNDDAlitokea ccm?
Mtoa mada, hili Jambo Lina mkono wa CCM, CCMbaada ya kukiuka kwa kulazimishwa bunge la chama kimoja, wakakumbuka wamekosea, wanalazimisha hao virusi 19 wabaki bungeni ili CCM na serikali take waonekane wanadumisha mfumo wa vyama vingi wakati ni udikteta mtupu.Ndugu Wana jukwaa hasa wadau wa demokrasia kuna tatizo kubwa sana nimeliona kwenye uharaka wa kufanya maamuzi ndani ya CHADEMA. Hapa tuangalie baadhi ya mifano.
1. Kuondoka kwa Dr. slaa kuliichukua CHADEMA zaidi ya Mwaka mzima mpaka kuziba nafasi Ile. Ikimaanisha kama Dr Slaa angeamua kurudi kwa style ya Lipumba, CHADEMA ingepasuka kama CUF lakini hatukujifunza tu.
2. Kuwafukuza wabunge 19 wa viti maalum.
CHADEMA mapema sana mwaka jana waliafikiana kuwafukuza wabunge 19 baada ya kukiuka maazimio rasmi ya chama na pia kukaidi wito wa kamati kuu. Cha kushangaza tumekaa mwaka mzima ndio tunakuja kuwafukuza rasmi kupitia rufaa za Baraza kuu. Nachojiuliza mwaka mzima tunasubiri Nini? Sasa wameshajipanga tutaburuzana na kesi mpaka 2024 huko ndio waje kuondoka when it's too late na damage imefanyika.
3. BAWACHA Haina mwenyekiti!!
Baada ya Mdee kuondolewa kwenye chama nilitegemea haraka sana nafasi zote zizibwe, Nikashangaa Sharifa Suleiman ambaye ni makamu mwenyekiti ZNZ ni Kaimu-Mwenyekiti mpaka leo. Sasa tunakwama wapi kuziba hiyo nafasi? Hivi Mdee akisema Leo anarudi kwenye uenyekiti BAWACHA na akapewa back up na msajili (maana Bado kiti kipo wazi) unadhani damage itakua kubwa kiasi gani?
As much as tunakipenda hiki chama lakini kwenye maamuzi magumu tuwe na uharaka otherwise tutaendelea kulalamika tunahujumiwa kumbe tunaacha gaps wenyewe na maadui wanazitumia kutunyooshea.
Cc Tindo Erythrocyte Proved
Kwa hiyo wewe unaitwa 'dolevaby'. Huoni upumbavu unaanzia hapo?Ha haaaa kwanini ndugu unatoa povu kwa watu walioko kwa ground ikiwa ww hata jina humu unatumia bandia acheni hizi mambo
Atleast umeandika kitu, ukiona watu wanaojisifu wana mageuzi huku akili zao zimeishia kwenye kubadilisha sura za watu pekee, ujue hapo kuna tatizo lingine linalotakiwa kuondolewa kabla ya kuwaza kuondoa hizo sura za watu.Nilichogundua wanaoalamikia ujio wa Lowasa nakutaka Mbowe aondoke ni wadau wa Slaa kitu hataki kusema hata Slaa ni uzao wa ccm amekuja Chadema baada yakukatwa kwenye Ubunge huko ccm
Hebu tuwaze kwa pamoja uchaguzi wa mwenyekiti uliopita Sumaye ndio amekuwa mwenyekiti guess what happened! kujenga Chama kinatakiwa maarifa mengi mfano sasa hivi Mnyika ni uzao Cha Chadema hajaazimwa popote! uchaguzi wa 2020 kwa mara ya kwanza wametoa mgombea wao ambae sio wakuazima manake inavyokwenda mwisho Chama kitabaki kwa watu sahihii...hizi Lawama zingine ikiwa ni kweli ni watu wa mageuzi lazima muwaze mbali ya Sura za watu
Chadema inategemewa na wengi angalia sasa hivi Chama kilivyo kimya watu wanavyolalamika je wakikabidhiwa watu wanaowaza teuzi Chama kikiuzwa?
Unazidi kuonesha vile ambavyo baadhi humu wana mawazo ya kidikteta bila wao kujijua, wao ni kutaka mabadiliko yanayowafurahisha wao pekee, hawajui kuheshimu mawazo ya wengine.Hapana hoja yangu sikwamba hakuna mtu mwingine huko Chadema lkn hatuwezi kuwaiga ccm Mbowe huu ni msimu wake wa mwisho mwenyewe alishasema lkn ukweli unabaki tu kwamba kwa uchaguzi uliopita angekuwa Sumaye au Mwambe naamini muda huu tungekuwa tunajadili mengine
ombi langu tuwasaidie Viongozi wetu tuwashauri inapobidi lkn tusiwakatishe tamaa mpaka sasa Chadema imekuwa taasisi kubwa mtu anaechiwa dhamana lazima aeleweke!
mtu kama Mnyika alikuwa kwenye target yamanunuzi lkn aliweka msimamo na leo ni Katibu mkuu wa Chama sasa watu wa namna ile ukiwapa dhamana yakuongoza Chama unahakika kiko kwenye mikono salama