Uharaka unahitajika kwenye maamuzi ya CHADEMA

Hapana, lowassa asingekua active ila Mbowe angekua ndio influencial zaidi that's why alimtaka Jussa awe makamu na pia Zitto aingizwe UKAWA maana ndio wangekua foot soldiers wake yeye akiwa anafanya oversight tu. Mbowe sio mjinga kiasi azungukwe, ni kwamba serikali ingenyoosha majizi yote ila kwa mgongo wa Mbowe maana Lowassa alikua hana cha kupoteza.

2. Kuhusu Kenya sio kweli!! Serikali ya grand coalition 2008-13 ama ya PNU 2002-2007 zilikua ndio serikali Bora zaidi katika historia ya Kenya in terms of uchumi na uchapa kazi.

Pia ni makosa kutotambua jinsi mahakama ya Kenya ilivyo wazi ama jinsi tume ilivyo huru kiasi kiongozi mbovu hawezi rudi. Rejea matokeo ya uchaguzi zaidi ya 80% ya wabunge na magavana hawakuwa re elected!! Hayo yote ni faida ya upinzani imara iliozaa siasa za ushindani.
 
Hizo ni dhana zisizo na nafasi kwa katiba iliyopo.

Lowasa naye si mjinga kwamba ali-invest resources na muda wake ili aje awakabidhi kina mbowe.

Na hiyo serikali ya kunyosha majizi ikiwa chini ya lowasa na mbowe inanipa mashaka sana.
 
Hoja iko wapi!

Unawaponda watu kwakuwa kabla ya kuingia chadema walikuwa kwenye vyama vingine. Huyo lisu unayemsema kama wa kwenu unajua kabla ya kuingia chadema alitokea wapi?!
Alitokea ccm?
 
Swali la kipumbavu lisilohitaji jibu la heshima.
Ha haaaa kwanini ndugu unatoa povu kwa watu walioko kwa ground ikiwa ww hata jina humu unatumia bandia acheni hizi mambo
 
Mtoa mada, hili Jambo Lina mkono wa CCM, CCMbaada ya kukiuka kwa kulazimishwa bunge la chama kimoja, wakakumbuka wamekosea, wanalazimisha hao virusi 19 wabaki bungeni ili CCM na serikali take waonekane wanadumisha mfumo wa vyama vingi wakati ni udikteta mtupu.
 
Ha haaaa kwanini ndugu unatoa povu kwa watu walioko kwa ground ikiwa ww hata jina humu unatumia bandia acheni hizi mambo
Kwa hiyo wewe unaitwa 'dolevaby'. Huoni upumbavu unaanzia hapo?
 
Atleast umeandika kitu, ukiona watu wanaojisifu wana mageuzi huku akili zao zimeishia kwenye kubadilisha sura za watu pekee, ujue hapo kuna tatizo lingine linalotakiwa kuondolewa kabla ya kuwaza kuondoa hizo sura za watu.

Kubadilisha sura za watu huku mindset ya wanachama wengi ikibaki ile ile ni ujinga mtupu.
 
Unazidi kuonesha vile ambavyo baadhi humu wana mawazo ya kidikteta bila wao kujijua, wao ni kutaka mabadiliko yanayowafurahisha wao pekee, hawajui kuheshimu mawazo ya wengine.

Mtu kulazimisha kiongozi aondoke kwa principles zake alizojiwekea kichwani, tena kinyume na taratibu na sheria zinazoongoza chama chao, huyu bado hajielewi kabisa, na hafai hata kuwa mwanachama wa chama chochote cha siasa, hawa ndio huwa chanzo cha mapinduzi kwenye vyama wanaotumiwa na CCM.
 
Nilionya unnecessary delays, walienda bungeni 2021 ila baraza kuu likaamua kesi 2022 ndio tumefika hapa. Haya tukikata rufaa mpaka kesi iishe ni 2025!! We are losers on this, hii iwe wake up call kuwa tuwe serious kwenye maamuzi.

Mfano maamuzi yamefutwa na mahakama, inabidi sasa chadema kiite baraza kuu upya kifungue jalada upya na kiwatimue upya within a month sio tena suala lisubiri kujadiliwa mwakani April huko Baraza kuu likikutana.

Aisee tunahitaji mwenyekiti Agressive walau Heche ndio anaweza komesha huu utoto. How are we sure 2025 hawatarudia hii tabia tena?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…