Kupigia magoti sanamu na kuziomba ndio ujanja?
Kutubu kwa padri na kumuelezea dhambi zako ndio ujanja?Toa boriti kwenye jicho lako kabla ya kuona ubanzi kwenye jicho la mwenzako.
Kula BAN nzuri tu ukapumzishe fuvuAlisikika mlevi mmoja kwenye mwendo kasi akiwa amevaa kanzuna balakaashia kitimoto kitamu asaa kikaushwa vizuri
Hukijui unachokiondolea mkuu .,View attachment 2510519
Ukiipeleka huku hii mada utaishia hapo mbele utachoka mapema sana.
Kaa kwa kutulia mkuu.
Usichokijua ni usiku wa giza.Hiyo sio sanamu ni Al Kaaba.Waliopo wanaswali.Hizi Kibla zipo kwenye kila msikiti duniani. Na ndipo waislamu wanapoelekea.Tafuta kingine.View attachment 2510519
Ukiipeleka huku hii mada utaishia hapo mbele utachoka mapema sana.
Kaa kwa kutulia mkuu.
Hukijui unachokiondolea mkuu .,
Hio picha yko una maana hao wanaabudu al kaaba ??! Hicho ni kibla ata sis wa TZ tunasali kwa kufuata hio angle.
Sema huwez kuelewa , bora uache kutma hio picha ambazo hujuwi zina maana gan.
Usichokijua ni usiku wa giza.Hiyo sio sanamu ni Al Kaaba.Waliopo wanaswali.Hizi Kibla zipo kwenye kila msikiti duniani. Na ndipo waislamu wanapoelekea.Tafuta kingine.
Ivi we jamaa ni dini gan kwanza ? Au ndo wale zambi zao zilizobebwa na mtu msalabani ?!/ Mungu wako nan !?Ndio maana nikasema bana kalio kaa mguu sawa,maana ya kuabudu na kusujudia sanamu ni ipi??
Msipende kujivua vua nguo kwamba ni wapumbavu muda wote.
jifunze kuandika kwanza dogo.Ivi ww una elimu kwl !? Or unajitambua ! , mtu unakurupuka tu hauna hoja ~ shit