Uharamu wa vitu hivi uko wapi?

Uharamu wa vitu hivi uko wapi?

Kupigia magoti sanamu na kuziomba ndio ujanja?
Kutubu kwa padri na kumuelezea dhambi zako ndio ujanja?Toa boriti kwenye jicho lako kabla ya kuona ubanzi kwenye jicho la mwenzako.

IMG_0446.jpg

Ukiipeleka huku hii mada utaishia hapo mbele utachoka mapema sana.

Kaa kwa kutulia mkuu.
 
View attachment 2510519
Ukiipeleka huku hii mada utaishia hapo mbele utachoka mapema sana.

Kaa kwa kutulia mkuu.
Usichokijua ni usiku wa giza.Hiyo sio sanamu ni Al Kaaba.Waliopo wanaswali.Hizi Kibla zipo kwenye kila msikiti duniani. Na ndipo waislamu wanapoelekea.Tafuta kingine.
 
Hukijui unachokiondolea mkuu .,
Hio picha yko una maana hao wanaabudu al kaaba ??! Hicho ni kibla ata sis wa TZ tunasali kwa kufuata hio angle.
Sema huwez kuelewa , bora uache kutma hio picha ambazo hujuwi zina maana gan.

Ndio maana nikasema bana kalio kaa mguu sawa,maana ya kuabudu na kusujudia sanamu ni ipi??

Msipende kujivua vua nguo kwamba ni wapumbavu muda wote.
 
Usichokijua ni usiku wa giza.Hiyo sio sanamu ni Al Kaaba.Waliopo wanaswali.Hizi Kibla zipo kwenye kila msikiti duniani. Na ndipo waislamu wanapoelekea.Tafuta kingine.

Hoja ni kusujudia[emoji23][emoji23].

Tena bora sisi tunapiga magoti na kusimama nyie mnakwenda mbali kwa kuinama kifudi fudi mbele ya jiwe[emoji15][emoji15].
Kama haitoshi ikawekwa kwenye nguzo no 5,yaani ni jinsi gani ni jambo muhimu kusujudia hilo jiwe.wakati sisi wala halipo ktk amri yoyote ya lazima.

Jenga tabia ya kutaka kueleweshwa jambo usikurupuke kuhukumu.
 
Ulivyo hufahamu ni kwamba hiyo kibla ndio muelekeo wa kuswali (kaaba).Hivyo inaweza kuwa mimbar kwenye
misikiti mingine yote duniani. Hapo ni Mecca ambapo waislamu wote huelekea wakiswali.Hivyo mimbar ya hapo Mecca ndio kaaba(kibla).

Hakuna anayesujudia Kaaba. Jifunze kabla ya kuzungumzia usichokijua.
 
Ndio maana nikasema bana kalio kaa mguu sawa,maana ya kuabudu na kusujudia sanamu ni ipi??

Msipende kujivua vua nguo kwamba ni wapumbavu muda wote.
Ivi we jamaa ni dini gan kwanza ? Au ndo wale zambi zao zilizobebwa na mtu msalabani ?!/ Mungu wako nan !?
 
Back
Top Bottom