Zack Abdul
JF-Expert Member
- Mar 9, 2026
- 1,194
- 911
Tume ya Uchunguzi ilibaini kuwa ghasia zilizotokea wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025 zilisababisha hasara kubwa ya kiuchumi. Uharibifu wa mali, biashara na miundombinu ulisababisha kupungua kwa shughuli za kiuchumi na kuchelewesha maendeleo ya taifa kwa miaka kadhaa. Ripoti inaonyesha picha halisi ya madhara haya. #UkweliWaRipoti
#TumeYaUchunguziReport
Kurekebisha Historia
#TumeYaUchunguziReport
Kurekebisha Historia