barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,378
- 29,739
Mi nafikiri wangekuwa wana-import marefa wa mechi hii toka ulaya.Waamuzi wa mechi za Simba na yanga wapimwe kwanza akili
Wangemvunja hata mguu ingekua boraRefaa kwanzaa...viti badaee
simba huwa hatupendi ujinga
Inatakiwa Tambwe afungiwe kwa kosa la kumdanganya muamuzi.
CHANETA wametaja kutambua mchango wa TAMBWE.
Unamaanisha kila klabu na Mashabiki wake watakaopata kuchezea Uwanja wa Taifa wawe wanavunja viti endapo wakiona refa amekosea kutoa Maamuzi....?
Atalipa Malinzi na Refa
Nasikia hamto chezea tena Uwanja wa Taifa mpaka Klabu yenu ikarabati viti vilivyo haribika.........!
Kandabili mnabebwa mno Angalia goli la Ajibu reView attachment 410674 fa alilokataa eti ni ofside.
Refa ndo aling'oa viti????simba imeonewa, ingefaa hiyo M5 alipishwe huyo refa aliye sababisha mashabiki wangoe viti
Kwa elimu yako ndogo namna hiyo ndio maana hujawa ww mkuuNingekuwa mm natoa adhabu basi ningempa adhabu hiyo refa haiwezekani goli la ukweli la ajibu anasema sio goli,goli la tambwe la mkono wa wazi kabisa anasema goli unategema nn kitatokea kwa mechi kubwa kama hii
Kama kuna waliostahili red card hafu kwasabab ya hizo vurugu refa akaacha, basi refa naye ni maandazNadhani bila mashabiki kuonyesha hasira hizo leo refa angetoa kadi nyekundu zaidi ya moja.Nakama waamuzi ndio hawa,iko siku hali itakuwa mbaya sana uwanjani!
CHANETA wametaja kutambua mchango wa TAMBWE.
Huyu Bwege Martin Sanya Sasa Labda Wamfungie Maisha Kuchezesha Mpira au Wamfunge Jela Ndiyo Atafahamu Ubaya Wa Kula Hongo.
Je!, adhabu aliyopewa refa Martin Sanya INAMTOSHA?
Mechi inayopaswa kuchezwa bila ya mashabiki ni ya wazazi wako,kubebebwa walikobebwa jana unategemea nini kwa mechi kubwa kama ile,acha upumbavu,usitafute umaalufu kwa kupitia viti,mambo ya kuja uwanjani na matokeo ndio madhara yake.Simba inyang'anywe point 6 na icheze mechi 10 bila mashabiki mechi zake za nyumbani, huu ni upumbavu wa hali ya juu!!