Uharibifu wa viti zaidi ya 200 uwanja wa Taifa DSM wakati wa mchezo wa Yanga na Simba

Uharibifu wa viti zaidi ya 200 uwanja wa Taifa DSM wakati wa mchezo wa Yanga na Simba

Simba inyang'anywe point 6 na icheze mechi 10 bila mashabiki mechi zake za nyumbani, huu ni upumbavu wa hali ya juu!!
Tunyang'anywe point 6 ili tulingane na yanga ee? wajaribu waone kama hatujavamia ofisi za TFF na kumchakaza malinzi, wajaribu tu waone,
 
Hv Kwa Mfano Refa Angekataa Lile Goli La Kichuya Kwamba Rudia Kona [emoji23][emoji23][emoji23]

Uwanja wote ungeangushwa Chini.
Hatutakagi ujinga sisi
Hahah polisi wenyewe wangekimbia
 
Haya majitu hamnazo kweli,mara ngapi refa anafanya ujinga kwa yanga na wala hawakuwahi kufanya huu upuuzi?kuna yule refa mwanamke sitamsahau alichokifanya ila huwezi kukuta mtu wa yanga anafanya upuuzi kama huo,hii timu ni ya watu wasio na akili.
Mkuu Mashabiki wa timu hii mwenyekiti wao alishawaambia ni Mambumbu
 
Naunga mkono kung'olewa kwa viti. Huyu refarii alikuwa amefungiwa kuchezesha mechi yoyote kwa mwaka mmoja. Malinzi alipoingia madarakani akawasamehe waamuzi wote waliofungiwa, na huyu jamaa akaponea hapo. Badala ya kuonyesha watanzania kuwa ameshajirekebisha, anarudia makosa makubwa matatu; kukataa goli halali, kukubali goli lisilo halali na kutoa kadi nyekundu. Sasa huyo Malinzi aliyemfungulia kifungo ndio atengeneze viti, maana aliwaona waliomfungia jamaa kuwa ni wajinga!
Kwa sheria mpya za FIFA, kujibizana na refa ni Straight Red Card.Sasa kumsukuma na kudondoka vile, inakua hakuna mjadala. Hivyo red card kwa muktadha wa alichofanyiwa refa ni halali.
Ama kuhusu maamuz ya kukubali goli au kukataa hapo inabidi kujiridhisha, na TFF wakigundua alizembea, wamchukulie hatua kali refa. Lakini pia Simba nayo inatakiwa iwajibishwe kwa kuchukuliwa hatua kali sana. Simba mchezo wa jana ulikua ni wa kwao. Kiuhakika hawakua na sababu ya kupanic, jana ushindi ulikua wao. Yanga aka Yebo, nimeona hamna kitu. Ni kelele tu, hamna lolote. Wanahiita wa Kimataifa, lakini kiukweli hamna timu pale. Na ndiyo maana mashabiki walipoa sana, na kiukweli ni kama walimwagiwa maji. Idadi ya mashabiki wa Yanga jana ilizidiwa sana na Simba, jambo ambalo ni nadra kutokea.
 
Kama kuna mtu mwenye clip ya goli la Tambwe aweke hapa kama ushahidi

Eti goli la mkono, simba ni kawaida yao hawashangazi.
 
Peleka huko, huwezi kuwa mashabiki wa simba hata siku moja, pamoja mi mwenyewe sifurahii aina ya upumbavu wa mashabiki uliofanywa kwa kuvunja viti ila siwezi nikacomment timu yangu ipokwe point 6, tunasitahili adhabu kubwa lakini sio adhabu ya kipuuzi kama unayopendekeza wewe, ukiona sehemu fulani ujinga kama huu hautokei ujue marefa wanachezesha fair play
Endelea kushabikia upuuzi.
 
Nyie mnaoponda ni mashabiki wa Yanga. Kwa mechi Kubwa Kama ile na maamuzi mabovu vile, ubinadamu unakutoka kwa muda unaweza fanya lolote.
Wawe wanaangalia South American soccer, km Argentina. Wale River plate v BOCA, kisingebaki kitu.
 
Kitendo cha wachezaji na washabiki wa Simba kuleta vurugu uwanjani hakivumiliki Simba inatakiwa washushwe daraja au wafungiwe kujihusisha na soka kwa mwaka mmoja iwe fundisho kwa wengine
 
Laki si Pesa hija ya kipumbavu Na Yanga aliyecheza Basketball badala ya Fottball afanyejwe? Au atawazwe Bingwa?
 
Kwanza aliempiga kiatu shabalala bila kupewa kadi.pili aliemtia vidole machoni mboma au tambwe,na mwamuzi akapeta,bechi la akiba la simba kuingia uwanjani ,captain wa simba aongezwe adhabu,linemen aliyekataa goli la wekundu eti ni offside,aliempiga daktari wa timu ya taifa apewe adhabu kali sana nimeisikia magazetini,mashabiki wa simba wapigwe ban marufuku kwenye mechi kubwa kwani waharibifu na wavunja amani,timu ya simba ipigwe faini na onyo kali sana sana.
 
,,,,,,mashabiki
wa simba wapigwe
ban marufuku
kwenye mechi kubwa
kwani waharibifu na
wavunja amani,,,,,,

duh hii kali, mkuu uko serious??
 
Wawe wanaangalia South American soccer, km Argentina. Wale River plate v BOCA, kisingebaki kitu.
Hawa watu wa ajabu kabisa, agenda ilibidi kuwa maamuzi mabovu uwanjani, wenyewe wamekimbilia uharibifu wa viti bila kuangalia chanzo kisa tu maamuzi hayo mabovu yamewafeva wao. Sasa tatzo litaishaje Kama wapo watu wanajipofusha makusudi.
 
Kojoa ukalale, hivyo vi pessa vya Manji ndivyo vinatuharbia mpira. Ingekua nchi makini Saanya angebanwa Rushwa aliyopewa ikabainika hakiKa Yanga ingefungiwa miaka 2 kushiriki VPL. Mnatumia fedha sana kupata ushindi.
 
Siku nyingine refa akileta ujinga tutaenda pale katikati kwenye pitch zile nyasi zote tutazilima....tff wanatakiwa kuacha upuuzi wasimamie soka sio wanaleta fitna..
 
Naunga mkono kung'olewa kwa viti. Huyu refarii alikuwa amefungiwa kuchezesha mechi yoyote kwa mwaka mmoja. Malinzi alipoingia madarakani akawasamehe waamuzi wote waliofungiwa, na huyu jamaa akaponea hapo. Badala ya kuonyesha watanzania kuwa ameshajirekebisha, anarudia makosa makubwa matatu; kukataa goli halali, kukubali goli lisilo halali na kutoa kadi nyekundu. Sasa huyo Malinzi aliyemfungulia kifungo ndio atengeneze viti, maana aliwaona waliomfungia jamaa kuwa ni wajinga!
Malinzi ni rais wa TFF wa hovyo kuwahi kutokea
 
Back
Top Bottom