Uharibifu wa viti zaidi ya 200 uwanja wa Taifa DSM wakati wa mchezo wa Yanga na Simba

Uharibifu wa viti zaidi ya 200 uwanja wa Taifa DSM wakati wa mchezo wa Yanga na Simba

Simba inyang'anywe point 6 na icheze mechi 10 bila mashabiki mechi zake za nyumbani, huu ni upumbavu wa hali ya juu!!
Hiyo sheria imeanza lini, mbona unapepesuka mkuu, unadhani Jamali anaweza akaamua tu, ingawa siiungi kitendo kille.
 
Kwa hivyo Kila klabu ikiona refa achezeshi vyema iwaamuru Mashabiki waanze kung'oa viti ili refa awe anachezesha vyema...?

Ni Marefa wangapi wamejirekebisha tangu muanze kung'oa viti......?
1475355804128.jpg
 
Mimi nawaomba Simba siku nyingine tujitahidi hata kungoa zaidi ya nusu labda tutasikilizwa tumelalamika vyavkutosha sisi ni wa kuonewa tu...au sisi ndiyo watakatifu sana huyo refa siku nyingine angalau apate hata kikofi...
Nmependa comment yako na nakusupport ng'oa hata nusu
 
Nyie mnaoponda ni mashabiki wa Yanga. Kwa mechi Kubwa Kama ile na maamuzi mabovu vile, ubinadamu unakutoka kwa muda unaweza fanya lolote.
Nakubaliana na kila mdau anayetetea, Mimi mwenyewe nimeumia lakini kwa nini hasira ziishie kwenye viti? Wanamkomoa Nani sasa? Hiki kitendo ni lazima kilaaniwe. Hizo pesa ambazo zingesaidia hiyo wanayojidai timu yao inamegwa kulipia upumbavu na ujinga walioufanya, mhhhhhh
 
Vurugu zinatokea misri huko sembuse bongo hapa vunja hata
1475356783380.jpg
nusu uwanja
1475356602582.jpg
1475356609554.jpg
1475356770830.jpg
 
Mimi sishangai kwa hiki kizazi cha kutwa bombadia,diomond,mara lupumba mara nanihiu!!!na hawa hawana tofauti na wale wanaokunya pembeni ya vyoo!!!!
 
simba imeonewa, ingefaa hiyo M5 alipishwe huyo refa aliye sababisha mashabiki wangoe viti
simba si timu ya kwanza kuonewa, DSM,Tanzania,EA,AFRIKA NA DUNIANI
Huo ni ujuha ulipindukia, huko Bunju wakiwa wanaonewa watakuwa wanavunja viti kila kukicha?
 
na bado watasema serikali inatakiwa kukarabati viti.......
..huu wendawazimu lini wataacha......kama tatizo lilikuwa mpira ,,viti vimewakosea nini.?
watanzania wenzangu ni vema kutumia akili kuliko ubongo.
kwa kulinda rasilimali za taifa letu
 
Hivi haya makundi ya wahuni ni nani anaye yaendekeza? Hebu jionee uharibifu wa Viti katika uwanja wa Taifa DSM wakati wa mchezo wa Yanga na Simba. Huu uhuni na wahuni wahusika wanapaswa wachukuliwe hatua stahiki. Haiwezekani mali ya Taifa inaharibiwa kiasi hiki, Ikumbukwe kuwa hii tabia si Mara ya kwanza kujitokeza. Hivyo Mamlaka zikishindwa kuchukua hatua stahiki wajue kuwa ipo siku hili litatojea tena.

Hiyo ndiyo maana ya mtu mweusi. Ustaarabu ni zero. Maana sijui wanafikiria kutumia nini, viti vina uhusiano gani na mchezo?? Lakini tatizo jinngine ninaloliona, kwann hivi viti ni rahisi sana kung'olewa? Nafikiri kuna tatizo la ubora pia katika ufungaji.
 
Cmba ni ya kuonewa huruma inapokutana na Yanga ndyo inakuwa inacheza mechi ya kimataifa so wanaipa kipaumbele sn,angalia game zinazokuja ss watakavyoanza kuachia washamaliza hapo kutoka droo na mabingwa na wawakilishi wa klabu bingwa africa ni jambo kubwa sn kwao,msipanic sn wamatopeni viti havihusiani na matokeo ya uwanjani,hongereni kwa ushindi lkn.
 
Hivi haya makundi ya wahuni ni nani anaye yaendekeza? Hebu jionee uharibifu wa Viti katika uwanja wa Taifa DSM wakati wa mchezo wa Yanga na Simba. Huu uhuni na wahuni wahusika wanapaswa wachukuliwe hatua stahiki. Haiwezekani mali ya Taifa inaharibiwa kiasi hiki, Ikumbukwe kuwa hii tabia si Mara ya kwanza kujitokeza. Hivyo Mamlaka zikishindwa kuchukua hatua stahiki wajue kuwa ipo siku hili litatojea tena.

Hiyo ndiyo maana ya mtu mweusi. Ustaarabu ni zero. Maana sijui wanafikiria kutumia nini, viti vina uhusiano gani na mchezo?? Lakini tatizo jinngine ninaloliona, kwann hivi viti ni rahisi sana kung'olewa? Nafikiri kuna tatizo la ubora pia katika ufungaji.
Hata kwenu ulaya haya mambo yapo ewe mtu mweupe.
 
Simba inyang'anywe point 6 na icheze mechi 10 bila mashabiki mechi zake za nyumbani, huu ni upumbavu wa hali ya juu!!
Unahisi kuwa TFF wanausoma huu uzi? Naona unatoa maoni kinyemela [emoji4] .Hakuna barafu ya moto dunia nzima =hakuna kitu kama hicho TFF.
 
Back
Top Bottom