kibaravumba
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 6,634
- 7,015
Bahati yenu mmebebwa kama kawaida yenu lakini mkwara wa mashabiki umemtisha refa asiendelee kuwabeba na mmezidiwa na watu tisa uwanjani mibaba mizima!Hatupendi ujinga sisiNasikia leo mnafanya sherehe ya kutoa sare na WAKIMATAIFA WENYE SOKA LAO BONGO .........Hongereni, angalau soka lenu linaanza kuja kwa mbaaaaaaali.