Uharibifu wa viti zaidi ya 200 uwanja wa Taifa DSM wakati wa mchezo wa Yanga na Simba

Uharibifu wa viti zaidi ya 200 uwanja wa Taifa DSM wakati wa mchezo wa Yanga na Simba

1475351116380.jpg
yanga walipaswa kuwekewa goli lao la hivi maana ni YOUNG NETBALL CLUB simba tulikosea sana !!!!! [emoji19][emoji19][emoji19][emoji19]
 
sijui viti viliwaudhi nini. Kufunga afunge Tambwe , hasira iishie kwenye viti. kama vip wangemvunja tambwe basi
Sasa wangemfikiaje wakati tambwe yuko mbali?kilichokaribu ni kiti
 
Vurugu Mchezoni zipo Dunia nzima tatizo lako si mfuatiliaji. Egypt watu walilete Usengerema Kama huu watu wakauana, Congo, Ghana kote the same story!
Huko kote ni Afrika hii hii.... No wonder....!!!
 
Nasikia leo mnafanya sherehe ya kutoa sare na WAKIMATAIFA WENYE SOKA LAO BONGO .........Hongereni, angalau soka lenu linaanza kuja kwa mbaaaaaaali.
Yanga wehu km wehu wengine
 
Haya majitu hamnazo kweli,mara ngapi refa anafanya ujinga kwa yanga na wala hawakuwahi kufanya huu upuuzi?kuna yule refa mwanamke sitamsahau alichokifanya ila huwezi kukuta mtu wa yanga anafanya upuuzi kama huo,hii timu ni ya watu wasio na akili.
Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha, yanga uwezo wenu upo kwenye kuzimia saa ngapi utakumbuka kung'oa kiti wakati umezimia
 
Tambwe mtu mbaya sana, kagoli kamoja tu viti kwachukwachu. Siye tulimiminwa 5 na hatukurusha hata chupa. Mjifunze ustaarabu wa matopeni, haya lipeni fine na mabomu juu...
Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha, kila mtu ana style yale pale anapofungwa, simba akifungwa watu wanakuwa na nguvu ya kung'oa viti na yanga akifungwa mashabiki huwa wanazimia saa ngapi watapata nguvu ya kuvunja viti!? [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 

Mwambieni "MO" ajiandae kufungua benki atuletee pesa za Faini.

Sisi kama TF hatupendagi ujinga.
Simba waliniudhi waliporudi uwanjani kuendelea na mechi. Wangeondoka tu, wawaache wacheze wenyewe na refa wao!
 
Haina ubishi iyo..uyu sanya cjui saanya akalime ndizi uko kwao au akachezeshe ndondo shenzi kabisa
 
Mashabiki wa Simba wamezoea kuvunja viti pale wanapoonyesha hasira zao hasa kutokana na maamuzi ya uwanjani. Wakati huohuo Yanga wamekuwa na tabia ya kuvunja mageti na uzio kila wasiporidhika. Kwa sababu hiyo timu hizi zimejipatia majina mapya (a.k.a)

Inasemekana adhari ya kuzoea uwanja wa uhuru wa zamani ambapo mechi zilikuwa zinachzewa watazamaji wakisimama, lakini pia watu wengi wakiingia kwa kuruka mageti, ndiyo imekuwa sababu ya watu kuwa na ustaarabu mdogo ambao unaendelea kujengwa taratibu.

TFF na serikali kwa ujumla inapaswa kutoa 'somo gumu' na chungu kwa timu na mashabiki vinara wa vurugu wa timu hizi ili iwe fundisho hata kwa kizazi kijacho.
 
Simba waliniudhi waliporudi uwanjani kuendelea na mechi. Wangeondoka tu, wawaache wacheze wenyewe na refa wao!
ndiyo mluchotaka tususie ili mpewe pointi 3 na goli 3 kama mluvyofanya Zanzibar...
 
Mimi ni simba ila SIHALALISHI ujinga kwa kusema mbona fulani nae anafanya!!
Peleka huko, huwezi kuwa mashabiki wa simba hata siku moja, pamoja mi mwenyewe sifurahii aina ya upumbavu wa mashabiki uliofanywa kwa kuvunja viti ila siwezi nikacomment timu yangu ipokwe point 6, tunasitahili adhabu kubwa lakini sio adhabu ya kipuuzi kama unayopendekeza wewe, ukiona sehemu fulani ujinga kama huu hautokei ujue marefa wanachezesha fair play
 
teh teh umeona ndo njia pekee iyo ya kuifikia simba pale juu
Wameshazoea kubebwa sana ndo maana wanajiita wakimataifa halafu wanaishia kuwa watalii wa viwanja vya mpira barani Africa, kule hakuna kubebwa maana hawatakagi ujinga ujinga
 
Back
Top Bottom