BilioneaPATIGOO
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 12,320
- 11,327
Yanga simba hakuna mbabe [emoji23][emoji23][emoji23] mpige kelele mbinuke juu chini matokeo hayabadiliki ...simba oyeeee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Africans destroy everything they touch...so its a natural reactionHivi haya makundi ya wahuni ni nani anaye yaendekeza? Hebu jionee uharibifu wa Viti katika uwanja wa Taifa DSM wakati wa mchezo wa Yanga na Simba.
Huu uhuni na wahuni wahusika wanapaswa wachukuliwe hatua stahiki. Haiwezekani mali ya Taifa inaharibiwa kiasi hiki, Ikumbukwe kuwa hii tabia si Mara ya kwanza kujitokeza.
Hivyo Mamlaka zikishindwa kuchukua hatua stahiki wajue kuwa ipo siku hili litatojea tenaView attachment 410423View attachment 410424View attachment 410425View attachment 410426
Tusi kubwa mno hilo mkuu huu ni mpira tu punguza hasiragwa myehill post: 17877041 said:lipumba we
We kilaz.a kweli kwa nini usitoe mfano EPL ambapo hakuna huo ushenzi.. Why you compare yourself with https://jamii.app/JFUserGuide looseersVurugu Mchezoni zipo Dunia nzima tatizo lako si mfuatiliaji. Egypt watu walilete Usengerema Kama huu watu wakauana, Congo, Ghana kote the same story!
Ukiwa pompompoNyie mnaoponda ni mashabiki wa Yanga. Kwa mechi Kubwa Kama ile na maamuzi mabovu vile, ubinadamu unakutoka kwa muda unaweza fanya lolote.
We kilaz.a kweli kwa nini usitoe mfano EPL ambapo hakuna huo ushenzi.. Why you compare yourself with **** looseers
Kwa hiyo unahalalisha upuuuzi??
Kwa hiyo unahalalisha upuuuzi??