Uharibifu wa viti zaidi ya 200 uwanja wa Taifa DSM wakati wa mchezo wa Yanga na Simba

Uharibifu wa viti zaidi ya 200 uwanja wa Taifa DSM wakati wa mchezo wa Yanga na Simba

Yanga simba hakuna mbabe [emoji23][emoji23][emoji23] mpige kelele mbinuke juu chini matokeo hayabadiliki ...simba oyeeee
 
Africans de
Hivi haya makundi ya wahuni ni nani anaye yaendekeza? Hebu jionee uharibifu wa Viti katika uwanja wa Taifa DSM wakati wa mchezo wa Yanga na Simba.

Huu uhuni na wahuni wahusika wanapaswa wachukuliwe hatua stahiki. Haiwezekani mali ya Taifa inaharibiwa kiasi hiki, Ikumbukwe kuwa hii tabia si Mara ya kwanza kujitokeza.

Hivyo Mamlaka zikishindwa kuchukua hatua stahiki wajue kuwa ipo siku hili litatojea tenaView attachment 410423View attachment 410424View attachment 410425View attachment 410426
Africans destroy everything they touch...so its a natural reaction
 
Hivi polisi walikuwa wapi watu wanafanya uharibifu kama huo?
Piga mabomu, futa hiyo mechi, watu watiwe ndani wanajifanya vichaaa.
Yani hatoki mtu hapo, upumbavu wa hali ya juu huu.
 
wanaweza kuwa ni vijana wa ukawa walienda kumalizia hasira zao za ukuta pale labda
 
Vurugu Mchezoni zipo Dunia nzima tatizo lako si mfuatiliaji. Egypt watu walilete Usengerema Kama huu watu wakauana, Congo, Ghana kote the same story!
We kilaz.a kweli kwa nini usitoe mfano EPL ambapo hakuna huo ushenzi.. Why you compare yourself with https://jamii.app/JFUserGuide looseers
 
Hakuna ujinga mbaya Kama huu, MTU yeyote mwenye akili hawezi kutetea upumbavu huu.
Kama tutaacha ujinga huu uendelee ipo siku watu watachoma moto uwanja na kusababisha madhara makubwa Sana kwa taifa hili.

Hivi jiulize Kama mechi hii ingekuwa inachezwa uwanja wa simba huko bunju halafu mashabiki wakafanya hivi je uwanja huu ukichezwa mechi tano simba ikifiungwa ingekuwa na viti vingapi
 
acheni ushamba fuatilieni ligi ya brasil, Argentina au Urusi mtaniambia watu wanachapana mpaka kuuana na wanaharibu uwanja sembuse bongo
 
Huyo refa ndo chanzo wa hayo yote yani alifungiwaga mechi ya yanga na coast na mashabiki walileta vurugu na Leo tena kaharibu mechi kubwa ambayo watu walikuwa wanaitatarajia
 
Salamu kwenu wapenda mpira!

Leo nimeshangazwa na kitendo cha wanasimba kuharibu viti na kuvitupa baada ya kufungwa utadhani vile viti ni mali ya refa au Yanga. Kitendo kingine kilichonichekesha ni pale mchezaji wa Simba alipotakiwa acheze fair play, cha ajabu akaugongesha kwa makusudi ule mpira kwa mchezaji wa Yanga ili utoke halafu warushe wao na adhima yake ikatimia,akauchukua mpira haraka na kumrushia mwenzake na refa wa mwendokasi akaruhusu mchezo. Baada ya hapo nikagundua kucheza hapa hapa tz tu kuna athari kubwa kwa wachezaji, manake nikawafananisha wachezaji wa simba + refa na wale wachezaji na mwamuzi wa kitambo kile kwenye gazeti la Sani. Hasa hasa wale waloitwa Bush Stars!!
 
We kilaz.a kweli kwa nini usitoe mfano EPL ambapo hakuna huo ushenzi.. Why you compare yourself with **** looseers

Kwa nini nitoe mfano wa Maeneo yasiyokuwa na huo ushenzi na kuacha hizo Nchi nilizozitaja?

Acha Ulimbukeni wa kila kitu kutoa Mfano wa Ulaya. Nyie ndio Team V.ilaza mnaoamini Dr. Living stone ndio aligundua Lake Tanganyika wakati kakuta Babu zetu wanavua Dagaa Ziwani!
 
Back
Top Bottom