Uharibifu wa viti zaidi ya 200 uwanja wa Taifa DSM wakati wa mchezo wa Yanga na Simba

Uharibifu wa viti zaidi ya 200 uwanja wa Taifa DSM wakati wa mchezo wa Yanga na Simba

Haifai kabisa kurusha mabomu ya machozi sehem kama uwanjani, leo nimeshuhudia kina mama wakiwa na watoto wadogo wamepoteza fahamu, na watu wamepoteza watoto wao, pia Ile ni sumu haifai kabisa, uwanjani ni sehem hatari sana sio kama kurusha sehem ya nje yenye uwazi,
 
Ni kukosa ustaarabu na kutojal kwamb kesh atakalia nini wapigwe faini ya kutosh simba
 
Wamatopeni hawako sawa vichwani mwao,viti vinahusika vipi hapo ........????
 
Halafu tifutifu inawapa faini ya pesa za kitoto,hapo wanatakiwa kukatwa si chini ya 30milioni.
 
Haya majitu hamnazo kweli,mara ngapi refa anafanya ujinga kwa yanga na wala hawakuwahi kufanya huu upuuzi?kuna yule refa mwanamke sitamsahau alichokifanya ila huwezi kukuta mtu wa yanga anafanya upuuzi kama huo,hii timu ni ya watu wasio na akili.
 
Simba inyang'anywe point 6 na icheze mechi 10 bila mashabiki mechi zake za nyumbani, huu ni upumbavu wa hali ya juu!!
Refaa mpewe na bado mshindwe kushinda...sasa mnataka point...nyie viazi kweli
 
Back
Top Bottom