OSOKONI
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 10,965
- 5,339
Sema hivi kufunga afunge banyamulenge kwa,mkonosijui viti viliwaudhi nini. Kufunga afunge Tambwe , hasira iishie kwenye viti. kama vip wangemvunja tambwe basi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sema hivi kufunga afunge banyamulenge kwa,mkonosijui viti viliwaudhi nini. Kufunga afunge Tambwe , hasira iishie kwenye viti. kama vip wangemvunja tambwe basi
Hahahahaha umeangalia mlizozidiwa ndo mtoeSimba inyang'anywe point 6 na icheze mechi 10 bila mashabiki mechi zake za nyumbani, huu ni upumbavu wa hali ya juu!!
Ya kuigwa ni mambo mzuri tu. Kuiga ujinga ni ujinga zaidi ya ujinga.Roho mbaya aijengi, vurugu zipo duniani kote, fatilia mechi za America ya kusini sehemu zenyewe zenye wahuni.
Nasikia leo mnafanya sherehe ya kutoa sare na WAKIMATAIFA WENYE SOKA LAO BONGO .........Hongereni, angalau soka lenu linaanza kuja kwa mbaaaaaaali.ila kwa leo refa anahusikaa kabisaa
Simba inyang'anywe point 6 na icheze mechi 10 bila mashabiki mechi zake za nyumbani, huu ni upumbavu wa hali ya juu!!
Kwa hiyo unahalalisha upuuuzi??
wewe unaota?Simba inyang'anywe point 6 na icheze mechi 10 bila mashabiki mechi zake za nyumbani, huu ni upumbavu wa hali ya juu!!
Haifai kabisa kurusha mabomu ya machozi sehem kama uwanjani, leo nimeshuhudia kina mama wakiwa na watoto wadogo wamepoteza fahamu, na watu wamepoteza watoto wao, pia Ile ni sumu haifai kabisa, uwanjani ni sehem hatari sana sio kama kurusha sehem ya nje yenye uwazi,
Refaa mpewe na bado mshindwe kushinda...sasa mnataka point...nyie viazi kweliSimba inyang'anywe point 6 na icheze mechi 10 bila mashabiki mechi zake za nyumbani, huu ni upumbavu wa hali ya juu!!