Uharibifu wa viti zaidi ya 200 uwanja wa Taifa DSM wakati wa mchezo wa Yanga na Simba

Uharibifu wa viti zaidi ya 200 uwanja wa Taifa DSM wakati wa mchezo wa Yanga na Simba

Inatakiwa Tambwe afungiwe kwa kosa la kumdanganya muamuzi.


Acheni Ubaguzi wa rangi kwenye soka nyinyi wahuni?

Kwanini Tambwe afungiwe kwa kufunga bao la Mkono wa MUNGU? Mbona klabu yenu ya Simba haikuiandikia Barua FIFA ili wamfungie MARADONAAA alipofunga bao la Mkono wa Mungu?

Au kwasababu Maradonaaa ni MZUNGU?

ACHENI UHUNI KWENYE SOKA, BANGI NI MBAYA SANA!
 
daa!refaaaaaa!aliaribu mchezo


Hakuna refa aliyewahi kufanya mchezo wa Simba na Yanga uonekane Fairplay..... Hakuna kabisa.

Kila mechi ya Yanga na Simba lazima refa aondoke na lawama.....

 

Unamaanisha kila klabu na Mashabiki wake watakaopata kuchezea Uwanja wa Taifa wawe wanavunja viti endapo wakiona refa amekosea kutoa Maamuzi....?
CHANETA wametaja kutambua mchango wa TAMBWE.
 
Mi nimshabiki wa simba,ila kwa swala la kung'oa viti hilo sikubaliani nalo hata kidogo huo ni ujinga,mwanaume gani unakuwa na hasira za kifala hivyo,afu na lile lichezaji letu utazani ndo limeanza kucheza mpira leo linaenda kugombana na refa hatimaye linapata kadi nyekundu,maamuzi yakishatoka huwa hayabadiliki,hata ulaya kuna makosa mengi kama hayo ya marefa,sasa likaigharimu timu,tungeondoka na point 3
 
Ningekuwa mm natoa adhabu basi ningempa adhabu hiyo refa haiwezekani goli la ukweli la ajibu anasema sio goli,goli la tambwe la mkono wa wazi kabisa anasema goli unategema nn kitatokea kwa mechi kubwa kama hii
Kwa elimu yako ndogo namna hiyo ndio maana hujawa ww mkuu
 
Nadhani bila mashabiki kuonyesha hasira hizo leo refa angetoa kadi nyekundu zaidi ya moja.Nakama waamuzi ndio hawa,iko siku hali itakuwa mbaya sana uwanjani!
Kama kuna waliostahili red card hafu kwasabab ya hizo vurugu refa akaacha, basi refa naye ni maandaz
 
Si mechi zao zote zilizo baki wacheze uwanja wa uhuru wang'oe zege kule maana viti vipo upande wa VIP
 
CHANETA wametaja kutambua mchango wa TAMBWE.


Nawasukuru sana CHANETA kutambua mchango wa Tambwe! Hawa CHANETA wanahitaji kuungwa mkono zaidi.

Nilianza kuwa penda CHANETA pale walipo tambua mchango wa DIEGO ARMANDO MARADONAAA alipo funga bao la Mkono wa Mungu.

Niliwapenda zaidi pale walipo mpa tuzo Thierry Henry pia kwa kufunga bao la Mkono wa Mungu.

Na leo pia wanamtambua Tambwe Magoli, Asanteni sana CHANETA.
 
Simba inyang'anywe point 6 na icheze mechi 10 bila mashabiki mechi zake za nyumbani, huu ni upumbavu wa hali ya juu!!
Mechi inayopaswa kuchezwa bila ya mashabiki ni ya wazazi wako,kubebebwa walikobebwa jana unategemea nini kwa mechi kubwa kama ile,acha upumbavu,usitafute umaalufu kwa kupitia viti,mambo ya kuja uwanjani na matokeo ndio madhara yake.
 
Back
Top Bottom