Uharibifu wa viti zaidi ya 200 uwanja wa Taifa DSM wakati wa mchezo wa Yanga na Simba

YANGA walivyoharibu viti ile mechi ya kuingia bure...walichukuliwa hatua gani? Ni vizuri sheria ilivyokata kotekote maana sheria ni msumeno!!!
 
Haya sasa Nnape Nauye ameshapiga marufuku hakuna mechi za Simba na Yanga kwenye uwanja huu tu mbavu zetu, huu ni ushamba kuharibu mali
 
Viti tutalipa ila hatutakagi ujinga sisi, ilikuwa ni njia ya kupeleka ujumbe!
 
Haya sasa Nnape Nauye ameshapiga marufuku hakuna mechi za Simba na Yanga kwenye uwanja huu tu mbavu zetu, huu ni ushamba kuharibu mali
Nape naye kakurupuka,hizi division four hiz ni shida,huo uwanja kazi yake nn sasa? Wangeweza kuwaadhibu kucheza bila mashabiki mechi kadhaaa au msimu mzima.huko kwingine viti haviwezi kuvunjwa?
 
Yote haya ni magoli tena la maradona ni la mkono haswaa halingoji reply
 
Turning aliyoifanya tambwe akiwa nampira na eneo refa alipokuwa hata ungekuwa wewe na darubini zako usingeona
 
Mke wangu unaweza kuwa ata wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…