Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unajua pale ndio uwezo wa Tambwe ulipoishia,
Kiwango chake kiko chini sana.
Kha !halafu wapewe yanga eh?Simba inyang'anywe point 6 na icheze mechi 10 bila mashabiki mechi zake za nyumbani, huu ni upumbavu wa hali ya juu!!
Nape naye kakurupuka,hizi division four hiz ni shida,huo uwanja kazi yake nn sasa? Wangeweza kuwaadhibu kucheza bila mashabiki mechi kadhaaa au msimu mzima.huko kwingine viti haviwezi kuvunjwa?Haya sasa Nnape Nauye ameshapiga marufuku hakuna mechi za Simba na Yanga kwenye uwanja huu tu mbavu zetu, huu ni ushamba kuharibu mali
Mke wangu unaweza kuwa ata wewe.UWEZO WA TAMBWE:
Mfungaji bora wa LigiKuu Tanzania Bara mara 2.
Anaifunga Simba SC kila wakati anao kutana nao.
Anafunga Mabao adimu zaidi ulimwenguni.
Bao la MKONO WA MUNGU.
(Hii aliweza Maradona pekee)
Kabeba ubingwa mara nyingi kuliko mchezaji wowote yule wa Simba SC hivi sasa.
Jamaa ni starter asiye na mbadala wa kulinganishwa naye BURUNDI NATIONAL TEAM.
Mengine Muulize mkeo huenda akawa anayajua machane ambayo sijayaandika.