Uharibifu wa viti zaidi ya 200 uwanja wa Taifa DSM wakati wa mchezo wa Yanga na Simba

Haina ubishi iyo..uyu sanya cjui saanya akalime ndizi uko kwao au akachezeshe ndondo shenzi kabisa
Bangi mbaya sana! Hivi tangu lini vilabu vikachagua refa wa kuchezesha mechi....

Itakuwa jambo la kwanza kabisa kufanyika Duniani tena kwenye Ardhi ya Bongo...
 

wangeng'oa uwanja mzima
 
Kama kuna mtu mwenye clip ya goli la Tambwe aweke hapa kama ushahidi

Eti goli la mkono, simba ni kawaida yao hawashangazi.

Kama Unataka Kuliona Ungeenda Uwanjani!!
Hatutaki Ujinga hapa..
 
Haya majitu hamnazo kweli,mara ngapi refa anafanya ujinga kwa yanga na wala hawakuwahi kufanya huu upuuzi?kuna yule refa mwanamke sitamsahau alichokifanya ila huwezi kukuta mtu wa yanga anafanya upuuzi kama huo,hii timu ni ya watu wasio na akili.

ulishawahi kuona CCM wanaandamana?😀😀😀😀😀😀😀
 
Siku nyingine refa akileta ujinga tutaenda pale katikati kwenye pitch zile nyasi zote tutazilima....tff wanatakiwa kuacha upuuzi wasimamie soka sio wanaleta fitna..


Mlitaka TFF walete refa mnaomtaka nyinyi?

Itakuwaje nao Yanga wakitaka refa wao ndio achezeshe mechi?

Simba akichagua refa wake, Yanga akachagua refa wake.....ili mechi ichezeshwe na Marefa wawili.... Linesmen wawili kila upande.? Heeh
 
Wawe wanaangalia South American soccer, km Argentina. Wale River plate v BOCA, kisingebaki kitu.

Unamaanisha kila klabu na Mashabiki wake watakaopata kuchezea Uwanja wa Taifa wawe wanavunja viti endapo wakiona refa amekosea kutoa Maamuzi....?
 
Kitendo cha wachezaji na washabiki wa Simba kuleta vurugu uwanjani hakivumiliki Simba inatakiwa washushwe daraja au wafungiwe kujihusisha na soka kwa mwaka mmoja iwe fundisho kwa wengine

Naona Wamatopeni Mumeng'ang'ania Simba ishushwe Daraja?? Au Mushaona Ukweli Kuwa Marahii Hali Ni Ngumu Kwenu dhidi ya Simba ambaye Kuna Kila Dalili ya Kuwa Hakamatiki Kwahiyo Munahisi Njia Pekee ya Nyinyi Kufanikiwa Ni Kuwa Simba Atolewe Kwenye Ligi??

Nyie Vyura FC aka Mbeleko FC mwaka huu imekula Kwenu.
 
Kama kuna mtu mwenye clip ya goli la Tambwe aweke hapa kama ushahidi

Eti goli la mkono, simba ni kawaida yao hawashangazi.



Goli kama lile si Mara ya kwanza kufungwa hapa DUNIANI......

Diego Armando MARADONAAA alishawahi kufunga bao la Mkono wa Mungu....!

Thierry Henry alishawahi kufunga bao la Mkono wa Mungu.....!

Haya mambo ni adimu sana. Huwa wanafanya wachezaji wakubwa sana, na wale wenye uwezo ulio tukuka.
 
hahaha walituwekea tena refa mbululambulula kama uyu mpaka masink ya chooni tunabeba yote


Nasikia hamto chezea tena Uwanja wa Taifa mpaka Klabu yenu ikarabati viti vilivyo haribika.........!
 
Kandabili mnabebwa mno Angalia goli la Ajibu re fa alilokataa eti ni ofside.
 
Huyu nae vipi!?Kwani viti vimekua roho vikitoka havirudi! Tutalipa ila sms imefika next time ujinga kama huu tunaondoka na magoli
[emoji23] [emoji23] [emoji23] magolii tena..!
 
Maridadi kabisa! Haya mabao ni adimu sana Ulimwenguni.....

Tambwe alinikumbusha mbali sana.... Yaani enzi za MARADONAAA...

Bila kusahau Thierry Henry naye. Yani Tambwe anaendelea kuvinja rekodi kalikali za Magwiji wa soka ulimwenguni...
Inatakiwa Tambwe afungiwe kwa kosa la kumdanganya muamuzi.
 
Tambwe mtu mbaya sana, kagoli kamoja tu viti kwachukwachu. Siye tulimiminwa 5 na hatukurusha hata chupa. Mjifunze ustaarabu wa matopeni, haya lipeni fine na mabomu juu...
Hilo goli mmoja amekupiga wewe nn? Mbona umelisifia saba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…