Mto wa mbu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2021
- 4,507
- 11,367
Mamaaee nilkuwa sija unfollow nami naenda kuwa'unfollowHii hali siyo ya kawaida for the national stability.
Mitandao ya kijamii kunawaka moto Kisa utekaji, ubakaji, ufiraji, kupotea Kwa raia, na kubakwa kwa demokrasia Tanzania.
Watanzania wanaanza kuwashambulia Kwa maneno na kuwa unfollow wanaokipigia debe chama tawala. Millard Ayo amepoteza wafuasi laki 3 ndani ya saa12.
Mitandao yoooote ni no reform no election. Hii imepelekea taasisi za serikali na viongozi wakipost mitandaoni wanafunga comment.
Hii hali sijui itaisha vipi na Kuna Kila dalili watanzania wengi watasusia uchaguzi wa mwaka huu.
TUTAKUWEPO
Akili kila mtu anayo yake jibu lipo hapo ila unaulizaaYeye yuko upande gani, wa watekaji au wa Wananchi?
C ndio hapo sasa shangaa naweweAkili kila mtu anayo yake jibu lipo hapo ila unaulizaa
Huyu huwa ni mchokozi jua hiloC ndio hapo sasa shangaa nawewe
Bila mabadiliko hakuna uchaguzi TanzaniaHii hali siyo ya kawaida for the national stability.
Mitandao ya kijamii kunawaka moto Kisa utekaji, ubakaji, ufiraji, kupotea Kwa raia, na kubakwa kwa demokrasia Tanzania.
Watanzania wanaanza kuwashambulia Kwa maneno na kuwa unfollow wanaokipigia debe chama tawala. Millard Ayo amepoteza wafuasi laki 3 ndani ya saa12.
Mitandao yoooote ni no reform no election. Hii imepelekea taasisi za serikali na viongozi wakipost mitandaoni wanafunga comment.
Hii hali sijui itaisha vipi na Kuna Kila dalili watanzania wengi watasusia uchaguzi wa mwaka huu.
TUTAKUWEPO
Upande wa watekaji, wabakaji na wafirajiYeye yuko upande gani, wa watekaji au wa Wananchi?
Unfollow kabsa like taperiOhoo kumbe ndiyo habari hiyo, ngoja tukamuunfollow chapa
Mamaaee nilkuwa sija unfollow nami naenda kuwa'unfollow
Watu wanaruka na wasanii, yaani sahivi msanii akiumwa akaomba msaada raia watampopomaNo reforms no election
Unfollow kabsaOhoo kumbe ndiyo habari hiyo, ngoja tukamuunfollow chapa