PreGE2025 Uhasama wa kisiasa Milllard Ayo apoteza wafuasi laki tatu ndani ya masaa 12

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Hii hali siyo ya kawaida for the national stability.
Mitandao ya kijamii kunawaka moto Kisa utekaji, ubakaji, ufiraji, kupotea Kwa raia, na kubakwa kwa demokrasia Tanzania.

Watanzania wanaanza kuwashambulia Kwa maneno na kuwa unfollow wanaokipigia debe chama tawala. Millard Ayo amepoteza wafuasi laki 3 ndani ya saa12.

Mitandao yoooote ni no reform no election. Hii imepelekea taasisi za serikali na viongozi wakipost mitandaoni wanafunga comment.

Hii hali sijui itaisha vipi na Kuna Kila dalili watanzania wengi watasusia uchaguzi wa mwaka huu.

TUTAKUWEPO
Minard Ayo kafanyaje hadi wamsusie? Juzi kuna Nabii wa nchini Kenya alitoa ushauri kwa Rais na akamwambia afungulie kanisa la Gwajima na asitakebkugombana na Mungu. Pia akasema hakuna mtu anayeweza kuzuia wazo ambalo muda wake umefika!
 
Hii hali siyo ya kawaida for the national stability.
Mitandao ya kijamii kunawaka moto Kisa utekaji, ubakaji, ufiraji, kupotea Kwa raia, na kubakwa kwa demokrasia Tanzania.

Watanzania wanaanza kuwashambulia Kwa maneno na kuwa unfollow wanaokipigia debe chama tawala. Millard Ayo amepoteza wafuasi laki 3 ndani ya saa12.

Mitandao yoooote ni no reform no election. Hii imepelekea taasisi za serikali na viongozi wakipost mitandaoni wanafunga comment.

Hii hali sijui itaisha vipi na Kuna Kila dalili watanzania wengi watasusia uchaguzi wa mwaka huu.

TUTAKUWEPO
Mimi binafsi nafiki Chaumma inaenda kuwa chama kikuu cha upinzani. Miundombinu yao, walivyopinga brain yote ya chadema ipo pale. Salum Mwalimu, Kigaila, Ruge, Mrema ,Ntobi ni powerful combination, nguvu kubwa.
 
Kila mtu ana uhuru wa kutumia bando lake anavyotaka
 
P pers

Mimi binafsi nafiki Chaumma inaenda kuwa chama kikuu cha upinzani. Miundombinu yao, walivyopinga brain yote ya chadema ipo pale. Salum Mwalimu, Kigaila, Ruge, Mrema ,Ntobi ni powerful combination, nguvu kubwa.
Kitu kinachowauma CCM ni kukataliwa Kwa CHAUMA, ni kilio na kusaga meno walidhani watawaraghai raia ,ila CHAUMA wamekutana na zomea zomea, X Wana wafuasi 900 😁😁
Daniel arapi moi aliwahi kusema nini vile
 
Kitu kinachowauma CCM ni kukataliwa Kwa CHAUMA, ni kilio na kusaga meno walidhani watawaraghai raia ,ila CHAUMA wamekutana na zomea zomea, X Wana wafuasi 900 😁😁
Sababu Chadema haipo, December Chaumma, ACT zitakuwa more popular than Chadema.

Sababu Kwa miezi mitatu kuanzia July to October Chadema itakuwa kimya, kupinga uchaguzi. Wenzao watakakampeni kufanya reforms ndanj ya uchaguzi.
 
Kwanini July waanze sahivi
 
Hii hali siyo ya kawaida for the national stability.
Mitandao ya kijamii kunawaka moto Kisa utekaji, ubakaji, ufiraji, kupotea Kwa raia, na kubakwa kwa demokrasia Tanzania.

Watanzania wanaanza kuwashambulia Kwa maneno na kuwa unfollow wanaokipigia debe chama tawala. Millard Ayo amepoteza wafuasi laki 3 ndani ya saa12.

Mitandao yoooote ni no reform no election. Hii imepelekea taasisi za serikali na viongozi wakipost mitandaoni wanafunga comment.

Hii hali sijui itaisha vipi na Kuna Kila dalili watanzania wengi watasusia uchaguzi wa mwaka huu.

TUTAKUWEPO
Siku ya uchaguzi wa maigizo watanzania wengi wapenda haki hawatajitokeza ni ibirisi na watekaji wauaji pekee watapanga foleni kupiga kura haramu za kishetani
 
Kwanini July waanze sahivi
Vyovyote, hi hivi Chadema wangeenda kwenye uchaguzi kupigania kuondoa ufisadi, dhuluma, uonevu, kupigania haki.

Hii nguvu ingekuwa more effective kukiunganisha chama zaidi ya maneno ya kitoto ya Lema na Lissu kwamba tutakinukisha. Sijawahi kumsika Heche akisema huu utoto ukijua huwezi kufanya chochote.
 
Back
Top Bottom