PreGE2025 Uhasama wa kisiasa Milllard Ayo apoteza wafuasi laki tatu ndani ya masaa 12

PreGE2025 Uhasama wa kisiasa Milllard Ayo apoteza wafuasi laki tatu ndani ya masaa 12

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Vyovyote, hi hivi Chadema wangeenda kwenye uchaguzi kupigania kuondoa ufisadi, dhuluma, uonevu, kupigania haki.

Hii nguvu ingekuwa more effective kukiunganisha chama zaidi ya maneno ya kitoto ya Lema na Lissu kwamba tutakinukisha. Sijawahi kumsika Heche akisema huu utoto ukijua huwezi kufanya chochote.
Chadema ikifa si ndo vizuri CCM mfurahi, 2020 Lissu Ali campaign Kwa gari,Meli na helicopter,aisee alichanja mbugan aswa afu akaambulia mbunge mmoja, nani apoteze muda na Hela Kwa bogus na useless election?? Nyie shindeni Chadema ikifa furahii 😁
 
Hii hali siyo ya kawaida for the national stability.
Mitandao ya kijamii kunawaka moto Kisa utekaji, ubakaji, ufiraji, kupotea Kwa raia, na kubakwa kwa demokrasia Tanzania.

Watanzania wanaanza kuwashambulia Kwa maneno na kuwa unfollow wanaokipigia debe chama tawala. Millard Ayo amepoteza wafuasi laki 3 ndani ya saa12.

Mitandao yoooote ni no reform no election. Hii imepelekea taasisi za serikali na viongozi wakipost mitandaoni wanafunga comment.

Hii hali sijui itaisha vipi na Kuna Kila dalili watanzania wengi watasusia uchaguzi wa mwaka huu.

TUTAKUWEPO
Sio mitandaoni tuuu
 
Kwa wanayoyafanya CCM naona kuingia kwenye siasa za CCM ni kujitafutia laana ya maisha,,
Hakuna fair competition, ukatili wa Kila aina kwa contenders.
Raha ya uchaguzi ni fair competition hata ukishinda unazidi kujijengea ile hali ya kujiamini kuwa naweza na nakubalika ILA uchaguzi umeiba(kupora), watu/raia hawakutaki hata kama ukiwa kwenye madaraka kuna karoho fulani kanakusuta hivi.
 
Mimi binafsi nafiki Chaumma inaenda kuwa chama kikuu cha upinzani. Miundombinu yao, walivyopinga brain yote ya chadema ipo pale. Salum Mwalimu, Kigaila, Ruge, Mrema ,Ntobi ni powerful combination, nguvu kubwa.
Ujui unachokiongea yani chama hiki hiki cha chauma kinachozomewa kila kona ndio kiwe chama kikuu cha upinzani unakichaa wewe
 
Hatutaki serikali ya kitekaji,kibakaji kifiraji,,,,watanganyika ndo Wanafirwa wakitekwa
Hasara waliyopata ni kubwa sana tokea Lisu awekwe ndani, baada ya Polisiccm kumbaka binti wa Uganda na kumnajisi mkenya , hasira za wakenya zilipelekea kudukua mitandao ya Serikali ya ibirisi wa ccm na kuwavua nguo kuhamisha mabilioni yao mengi, Uonevu wa kipumbavu wa Polisiccm umewagharimu sana, pia Amos makala Bashungwa IGP na chawaccm wamekwapua Hazina bilon 15 Hazina kazi maalum wamegawana kienyeji na chache kugawana na mbowe akawasokomezea magalasa G55 kwenda chauma ubwabwa Chaumaccm wizi mpya wa pesa za walipa kodi
 
Mimi binafsi nafiki Chaumma inaenda kuwa chama kikuu cha upinzani. Miundombinu yao, walivyopinga brain yote ya chadema ipo pale. Salum Mwalimu, Kigaila, Ruge, Mrema ,Ntobi ni powerful combination, nguvu kubwa.
Wewe mwenyewe umejua hakuna mwenye Akili Timanu aweza fikiri kama wewe ndiyo maana umesema unafikiri binafsi, chauma ubwabwa wamenunuliwa na ccm G55 magalasa watupu hakuna mwenye brain wote ni watu wa hovyo na wapumbavu watupu, mfano hicho kijamaa Salum mwalimu ni kibenteni wa covid 19 na mnafiki balaa ana brain gani? Yule Kigaila ni mshirikina, mchonganishi, fitna nyingi mzushi muongo balaa ni mpenda majungu usengenyaji ni kajitu ka hovyo sana kwa kifupi hao G55 hakuna mwenye brain wote vilaza na majuha watupu
 
Minard Ayo kafanyaje hadi wamsusie? Juzi kuna Nabii wa nchini Kenya alitoa ushauri kwa Rais na akamwambia afungulie kanisa la Gwajima na asitakebkugombana na Mungu. Pia akasema hakuna mtu anayeweza kuzuia wazo ambalo muda wake umefika!
Muungano ufe Tanganyika idai Uhuru wake maana mama iddy Amin Dada Mkoloni Kaburu toka Zanzibar atawamaliza watanganyika kwa kafara za utekaji wa Polisiccm
 
Kila mtu ana uhuru wa kutumia bando lake anavyotaka

..uhuru wa kutumia bando kuwa upande unaounga mkono watekaji, watesaji, wafi*raji, na wauwaji, au kutumia bando kuwa upande wa wanaopinga ushenzi huo?
 
Hapana.
Watazuia uchaguzi; hawatasusia uchaguzi.

"Kususia" ni kuwakubalia CCM waendelee madarakani. Hili halikubaliki.
Watu watasusa kupiga kura na wachache wataojitokeza watampigia Lisu hata kama yupo jela
 
Hii hali siyo ya kawaida for the national stability.
Mitandao ya kijamii kunawaka moto Kisa utekaji, ubakaji, ufiraji, kupotea Kwa raia, na kubakwa kwa demokrasia Tanzania.

Watanzania wanaanza kuwashambulia Kwa maneno na kuwa unfollow wanaokipigia debe chama tawala. Millard Ayo amepoteza wafuasi laki 3 ndani ya saa12.

Mitandao yoooote ni no reform no election. Hii imepelekea taasisi za serikali na viongozi wakipost mitandaoni wanafunga comment.

Hii hali sijui itaisha vipi na Kuna Kila dalili watanzania wengi watasusia uchaguzi wa mwaka huu.

TUTAKUWEPO
Wapi huko... Mbona mi sijui kitu...
Kuwa bize na family yako ww...
Stupid
 
Vyovyote, hi hivi Chadema wangeenda kwenye uchaguzi kupigania kuondoa ufisadi, dhuluma, uonevu, kupigania haki.

Hii nguvu ingekuwa more effective kukiunganisha chama zaidi ya maneno ya kitoto ya Lema na Lissu kwamba tutakinukisha. Sijawahi kumsika Heche akisema huu utoto ukijua huwezi kufanya chochote.
Uchaguzi huru na haki ccm bye bye
 
Back
Top Bottom