Hii hali siyo ya kawaida for the national stability.
Mitandao ya kijamii kunawaka moto Kisa utekaji, ubakaji, ufiraji, kupotea Kwa raia, na kubakwa kwa demokrasia Tanzania.
Watanzania wanaanza kuwashambulia Kwa maneno na kuwa unfollow wanaokipigia debe chama tawala. Millard Ayo amepoteza wafuasi laki 3 ndani ya saa12.
Mitandao yoooote ni no reform no election. Hii imepelekea taasisi za serikali na viongozi wakipost mitandaoni wanafunga comment.
Hii hali sijui itaisha vipi na Kuna Kila dalili watanzania wengi watasusia uchaguzi wa mwaka huu.
TUTAKUWEPO
Hivi ule Makala na Empocks na ebola bado anafuatilia madukani au bidhaa hiyo imeisha .🤣🤣🤣🤣
Yaani CCM ni janga kubwa sana . Wanamweka mtu asiyekubalika kugombea urais halafu wanatumia fedha nyingi sana na hata mauaji ili tu kumnadi.
Vijana wamekataa.
Eti CCM ina wanachama mil.13 .
Hapo wanasahau KUWA Wazanzibari hawana kura hata laki 5.
Sasa kura za CCM zaidi ya mil.12 ni za kutoka Tanganyika ambao hawamtaki Samia .
Watu wenye umri wa kupiga kura ni zaidi ya mil 35 . Kati ya mil. 34 ni Watanganyika ambao hawamtaki Samia .
Sasa CCM mnaingia mkenge wenyewe halafu mnataka kuona amani ya nchi ikiwa katika hali ile ile ya enzi za Nyerere . Natumia nguvu kubwa sana kupambana na kivuli Chenu wenyewe.
Mngetuletea Kasimu Majaliwa , Januari Makamba , Hamfrey Polepole , Paramagamba Kabudi . Hata yule Mbahima Doto Biteko angalau . Bora hata Nape Mnauye ,hata Rais wa Mawe Mwigulu Nchemba au ikishindikana Kabisa Tuwachukue Akina mama Ana Tibaijuka ,Ummi Mwalimu , Asha rose nk. Huu uchaguzi ungekuwa ni jambo la kushindana kwa hoja sio vioja ,vijembe na mautekaji huu uliopo kwa sababu ya Kulazimisha Zanzibar itoe Marais wawili na mawaziri asilimia zaidi ya 140 ya serikali zote mbili.
Hapo nani wa kulinda maslahi ya Tanganyika .
CCM mnataka kuhatarisha usalama na maslahi ya watanganyika ikiwemo uhuru na imani za kila mtanganyika kuabudu bila kulazimishwa kama vile tuko Afghanistani .