RUDIA KUSOMA ULICHO KIANDIKA..!UNA LEVEL GANI YA ELIMU?Mimi binafsi nafiki Chaumma inaenda kuwa chama kikuu cha upinzani. Miundombinu yao, walivyopinga brain yote ya chadema ipo pale. Salum Mwalimu, Kigaila, Ruge, Mrema ,Ntobi ni powerful combination, nguvu kubwa.
Ni kuwkataa wafuasi wote wa uzalimuHii hali siyo ya kawaida for the national stability.
Mitandao ya kijamii kunawaka moto Kisa utekaji, ubakaji, ufiraji, kupotea Kwa raia, na kubakwa kwa demokrasia Tanzania.
Watanzania wanaanza kuwashambulia Kwa maneno na kuwa unfollow wanaokipigia debe chama tawala. Millard Ayo amepoteza wafuasi laki 3 ndani ya saa12.
Mitandao yoooote ni no reform no election. Hii imepelekea taasisi za serikali na viongozi wakipost mitandaoni wanafunga comment.
Hii hali sijui itaisha vipi na Kuna Kila dalili watanzania wengi watasusia uchaguzi wa mwaka huu.
TUTAKUWEPO
Millard siku zote yupo upande wa wauaji, millard na clouds wote chawazYeye yuko upande gani, wa watekaji au wa Wananchi?
Ni hivi huu uchaguzi ushaingia Najisi, believe me ata Samia anatamani Chadema wangeshiriki uchaguzi Ili kuwepo na legitimacy,,,lakini Kwa Hali ilivyo atazunguka mwenyewe nchi nzimaKwa wanayoyafanya CCM naona kuingia kwenye siasa za CCM ni kujitafutia laana ya maisha,,
Hakuna fair competition, ukatili wa Kila aina kwa contenders.
Raha ya uchaguzi ni fair competition hata ukishinda unazidi kujijengea ile hali ya kujiamini kuwa naweza na nakubalika ILA uchaguzi umeiba(kupora), watu/raia hawakutaki hata kama ukiwa kwenye madaraka kuna karoho fulani kanakusuta hivi.
Kinachoniuma ni watu kufirwa yani wanateka mtu mzima afu Wana mfira, hivi uyu mama anatuka Nini watanganyikaMuungano ufe Tanganyika idai Uhuru wake maana mama iddy Amin Dada Mkoloni Kaburu toka Zanzibar atawamaliza watanganyika kwa kafara za utekaji wa Polisiccm
MbususuWapi huko... Mbona mi sijui kitu...
Kuwa bize na family yako ww...
Stupid
Huu mwaka watapata low voter turnout ever experiencedHuo ndio ujumbe pekee atakaokutana nao Samia na Genge lake kila mahali atakapokuwa.
Chaguo ni lake, Kufanya mabadiliko, na uchaguzi ufanyike kwa amani na HAKI; au akubali kuwategemea genge lake kuwaua waTanzania ili abakie madarakani kwa nguvu.
Ngoja na mm niendeMamaaee nilkuwa sija unfollow nami naenda kuwa'unfollow
Aliyekuambia Ntobi yuko Chauma nani??Mimi binafsi nafiki Chaumma inaenda kuwa chama kikuu cha upinzani. Miundombinu yao, walivyopinga brain yote ya chadema ipo pale. Salum Mwalimu, Kigaila, Ruge, Mrema ,Ntobi ni powerful combination, nguvu kubwa.
Millard atapoteza 1m followers yaani kama ujumbe ameupataNatamani boycotts ziwatembelee viongozi wa dini ambao wanakaa meza moja na wafadhili wa utekaji, utesaji na/au mauaji ya raia wanaoikosoa Serikali.
Nenda nani anategemea habari kutoka Kwa uyo taperi wa CCMNgoja na mm niende
🤣😅🤣Mamaaee nilkuwa sija unfollow nami naenda kuwa'unfollow
Kinachonifurahisha Samia hakubaliki kabsa, HanaHivi ule Makala na Empocks na ebola bado anafuatilia madukani au bidhaa hiyo imeisha .🤣🤣🤣🤣
Yaani CCM ni janga kubwa sana . Wanamweka mtu asiyekubalika kugombea urais halafu wanatumia fedha nyingi sana na hata mauaji ili tu kumnadi.
Vijana wamekataa.
Eti CCM ina wanachama mil.13 .
Hapo wanasahau KUWA Wazanzibari hawana kura hata laki 5.
Sasa kura za CCM zaidi ya mil.12 ni za kutoka Tanganyika ambao hawamtaki Samia .
Watu wenye umri wa kupiga kura ni zaidi ya mil 35 . Kati ya mil. 34 ni Watanganyika ambao hawamtaki Samia .
Sasa CCM mnaingia mkenge wenyewe halafu mnataka kuona amani ya nchi ikiwa katika hali ile ile ya enzi za Nyerere . Natumia nguvu kubwa sana kupambana na kivuli Chenu wenyewe.
Mngetuletea Kasimu Majaliwa , Januari Makamba , Hamfrey Polepole , Paramagamba Kabudi . Hata yule Mbahima Doto Biteko angalau . Bora hata Nape Mnauye ,hata Rais wa Mawe Mwigulu Nchemba au ikishindikana Kabisa Tuwachukue Akina mama Ana Tibaijuka ,Ummi Mwalimu , Asha rose nk. Huu uchaguzi ungekuwa ni jambo la kushindana kwa hoja sio vioja ,vijembe na mautekaji huu uliopo kwa sababu ya Kulazimisha Zanzibar itoe Marais wawili na mawaziri asilimia zaidi ya 140 ya serikali zote mbili.
Hapo nani wa kulinda maslahi ya Tanganyika .
CCM mnataka kuhatarisha usalama na maslahi ya watanganyika ikiwemo uhuru na imani za kila mtanganyika kuabudu bila kulazimishwa kama vile tuko Afghanistani .
Busara aipate wapi wakati kazi yake ni kuteka, kuuza na kurawitiNatamani Mh Rais azidi kupata HEKIMA na BUSARA , awaite Washindani wake wa kisiasa hasa CHADEMA, Wadau wa Uchaguzi na watu maarufu, yafanyike Majadiliano yatakayoleta KATIBA MPYA ILIYO BORA, TUME HURU NA SHIRiKISHI YA UCHAGUZI...
Kwenye hili hakutokuwa na MSHINDI wala MSHINDWA zaidi ya Ustawi na Maendeleo kwa Mama Tanzania
Ambao hawataki kushiriki kwenye uchaguzi ni wengi saaaaaanaShida ipo, nawaza wale wa no reform wagome kupiga kura alafu, wale wa no needs of reform wakapige kura wote. Itakuwajee🙄
Labda iwe no election🥺
Mitandao Ina nguvu kubwa saaaana,refers uchaguzi wa Lissu vs Mbowe, Kamala vs TrumpNepi ndio alikuwa anadanganya watu eti mitandao haina nguvu mara mtandaoni hakuna kura ila ndio wao wa kwanza kupost na siku katumbuliwa alideactivate account kwa miezi 3 !
Wanasema wamefungia X sababu ina maudhui yasiyofaa ila bado hata Samia na kina Msigwa wanapost.
Ni jambo la kushangaza hawa vilaza hadi karne hii hawajui nguvu ya mitandao imewahi ondoa hata serikali nyingi madarakani.
Click iyo account,then utaniona iyo optionNaomba procedure za ku unfollow maana mi mwnyw sipendi kuwa sehemu yake