B M F ICONIC
JF-Expert Member
- Jan 28, 2019
- 995
- 1,962
Niliwaambiaga tangu mwaka jan hawaskiiIna maana huyo Millard Ayo anapigia debe wanaotenda hayo maovu??
Ukishabikia muuaji maana yake na wewe ni muuaji
Ili kujenga Tanzania, tabia hizi za wasanii zikemewe na kupigwa vita
MOja kwa moja kwenye mada Tabia ya kwanza . Kumekuwa na tabia za wasanii kutumia infuence yao kusifia chama cha kisiasa au kiongozi flani wakati wa kampen (mfano wasanii hulipwa na chama X kuwasifia kwenye majukwaa ya kisiasa na kutumia influnce yao kushawishi mashabiki zao wawapigie kura...