PreGE2025 Uhasama wa kisiasa Milllard Ayo apoteza wafuasi laki tatu ndani ya masaa 12

PreGE2025 Uhasama wa kisiasa Milllard Ayo apoteza wafuasi laki tatu ndani ya masaa 12

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
20250607_145643.jpg


Mwamba huyu hapa!

Millard Muyenjwa Ayo aka Mtu wako wa Nguvu.

Kuna matapeli wa kisiasa wanaeneza uongo kwamba kuna watu laki 3 wame unfollow page yake ya Instagram.

Huo ni uongo na uzushi ili kuaminisha watu kuwa wanayo nguvu ya kudeal na walking media Muyenjwa.

Watanzania wanampenda.

Watanzania wanamuamini.

Watanzania wanamkubali.

Watanzania kwa mamilioni wamemfolow Millard hakuna mwenye ubavu wa Ku unfollow page namba moja ya habari Tanzania.

Kama mnataka awe anawapost kwenye page yake kila wakati basi pelekeni budget, pale Instagram anapst post moja kwa laki 8.

Millard kanyooka anafanya kazi zake kwa weledi mkubwa bila mihemko.

Sisi tunaoamini kwenye uhuru wa vyombo vya habari tupo nyuma yake kuakikisha kikundi chochote cha wahuni akimpangii cha kupost kama mnataka airtime pelekeni hela ifanyike biashara.

Kama unabisha kuhusu nguvu ya Millard basi nakuhakikishia kila anaesoma hapa bado amemfollow Millard Ayo.

Kataa matapeli wapenda matusi wasiotaka amani kwenye nchi yetu.
 
Hao wanaotangaza Wana mu unfollow Hawana follower hata mmoja.
 
FREE TUNDU ANTIPAS LISSU
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
 
Hao wanaotangaza Wana mu unfollow Hawana follower hata mmoja.
Kwa ivo Kila anayesafiri kwa basi na yeye ana basi? Watu wakisema wasisafiri Kwa mabasi ya kampuni Fulani utaanza kusema mwenye kampuni asijali kwa kuwa wanaosema hivyo hawana mabasi?
 
Mimi mbona miaka yote siyo "follower" wake na habari za nchi yangu nazipata Kila siku.

Ni kijana mahiri Sana kwenye tasnia ya habari lakini usimkuze. Ila na yeye taratibu kaanza kuweka habari za NRNE.

Kwa maana nyingine kasalimu amri kimtindo!
Millard Ayo kanyooka mkitaka airtime wekeni pesa atazunguka na nyie, waulizeni viongozi wenu wanajua overnight yake tuuu ni sh ngapi.
 
ATa kenya harakati zilianzia mitandaoni.
Atimae yametimia. Furaha yangu
 
Millard Ayo kanyooka mkitaka airtime wekeni pesa atazunguka na nyie, waulizeni viongozi wenu wanajua overnight yake tuuu ni sh ngapi.
Kuna mahali CHADEMA imetaka "Air time" ya Millard Ayo? Hizo tozo zake zinatokana na "followers" na siyo akili yake.

Muulize Eric shigongo wa Sasa anauonaje umuhimu wa "followers" akilinganisha na wakati ule magazeti yake ya udaku yakiwa kwenye chati.

Halafu Kwa Sasa Jambotv online ndicho chombo kinachofuatiliwa na watu wengi!
 
Mm tangu jana nime_unfollow akaunti za wasanii hawa
Diamond
Ali kiba
Zuchu
Millard Ayo
Na bado niko naendelea
 
Kwenye utetezi wa tasnia ya burudani upo vizuri janja

Kuhusu taifa lako hutaki kusikia dogo
 
mwamba ni mjasiria mali, mwacheni na page yake japo mm ni cdm ila biashara binafsi siwezi ingilia.
 
Huu mwaka watapata low voter turnout ever experienced
Hiyo itakuwa bahati nzuri sana kwao; kwa sababu itawawezesha kubaki madarakani.
Litakuwa kosa kubwa sana kwa waTanzania hilo litokee.
Ndiyo maana halisi ya: NO REFORM, NO ELECTION. Hata hiyo "low voter turnout" isiwepo kabisa.
 
Back
Top Bottom