PreGE2025 Uhasama wa kisiasa Milllard Ayo apoteza wafuasi laki tatu ndani ya masaa 12

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Hii hali siyo ya kawaida for the national stability.
Mitandao ya kijamii kunawaka moto Kisa utekaji, ubakaji, ufiraji, kupotea Kwa raia, na kubakwa kwa demokrasia Tanzania.

Watanzania wanaanza kuwashambulia Kwa maneno na kuwa unfollow wanaokipigia debe chama tawala. Millard Ayo amepoteza wafuasi laki 3 ndani ya saa12.

Mitandao yoooote ni no reform no election. Hii imepelekea taasisi za serikali na viongozi wakipost mitandaoni wanafunga comment.

Hii hali sijui itaisha vipi na Kuna Kila dalili watanzania wengi watasusia uchaguzi wa mwaka huu.

TUTAKUWEPO
No Reform No Election
 
Kitu kinachowauma CCM ni kukataliwa Kwa CHAUMA, ni kilio na kusaga meno walidhani watawaraghai raia ,ila CHAUMA wamekutana na zomea zomea, X Wana wafuasi 900 😁😁
Ata chadema walianza pole pole kwakuzarauliwa.Kwenye hii dunia kila kitu kina mfuasi ndo maana ata wacheza ngono wana wafuasi.Kwahiyo niswala la muda tu mambo yataanza kubadilika.
 
CHAUMA ilianzishwa 2012, so sio wachanga wana 12 years
 
Hii hali siyo ya kawaida for the national stability.
Mitandao ya kijamii kunawaka moto Kisa utekaji, ubakaji, ufiraji, kupotea Kwa raia, na kubakwa kwa demokrasia Tanzania.

Watanzania wanaanza kuwashambulia Kwa maneno na kuwa unfollow wanaokipigia debe chama tawala. Millard Ayo amepoteza wafuasi laki 3 ndani ya saa12.

Mitandao yoooote ni no reform no election. Hii imepelekea taasisi za serikali na viongozi wakipost mitandaoni wanafunga comment.

Hii hali sijui itaisha vipi na Kuna Kila dalili watanzania wengi watasusia uchaguzi wa mwaka huu.

TUTAKUWEPO
Very nice hadi waondoke kwenye mazoea.NO REFORMS NO ELECTION zaidi ya hapo ni uongo mtupu.
 
Hii hali siyo ya kawaida for the national stability.
Mitandao ya kijamii kunawaka moto Kisa utekaji, ubakaji, ufiraji, kupotea Kwa raia, na kubakwa kwa demokrasia Tanzania.

Watanzania wanaanza kuwashambulia Kwa maneno na kuwa unfollow wanaokipigia debe chama tawala. Millard Ayo amepoteza wafuasi laki 3 ndani ya saa12.

Mitandao yoooote ni no reform no election. Hii imepelekea taasisi za serikali na viongozi wakipost mitandaoni wanafunga comment.

Hii hali sijui itaisha vipi na Kuna Kila dalili watanzania wengi watasusia uchaguzi wa mwaka huu.

TUTAKUWEPO
Hizi online tv,magazeti na vyombo vingine vinavyokaa kimya kuhusu utekaji,wizi na uminywaji wa haki tujitowe kuwafatilia.
 
Hii hali siyo ya kawaida for the national stability.
Mitandao ya kijamii kunawaka moto Kisa utekaji, ubakaji, ufiraji, kupotea Kwa raia, na kubakwa kwa demokrasia Tanzania.

Watanzania wanaanza kuwashambulia Kwa maneno na kuwa unfollow wanaokipigia debe chama tawala. Millard Ayo amepoteza wafuasi laki 3 ndani ya saa12.

Mitandao yoooote ni no reform no election. Hii imepelekea taasisi za serikali na viongozi wakipost mitandaoni wanafunga comment.

Hii hali sijui itaisha vipi na Kuna Kila dalili watanzania wengi watasusia uchaguzi wa mwaka huu.

TUTAKUWEPO
no reforms no election
 
No Reform No Election!

Millard Ayo bye... Kamwe Sita subscribe!
 
Waliwahi kugombea nafasi gani wakashinda hao watu uliowataja?
Kitu kidogo hupewi, unajitoa kwenye jukwaa kubwa nchini kuongea. Utahaki mitandaoni.

Kampeni zikianza Chadema watakuwa wanapinga uchaguzi usifanyake.
 
Umeona ee? Ndo maana mi NAIONA hii mijitu kama mitahiraa tu. Halafu, huu ujinga wote unaisha mara baada ya mama Samia kushinda kwa 98 hapo mwezi oktoba.
Tegemeo lenu kubwa ni wananchi wasio na elimu wajinga...ndiyo maana hamuamini kama Hawa wa kidijital ni wapiga kura.
 
Hii hali siyo ya kawaida for the national stability.
Mitandao ya kijamii kunawaka moto Kisa utekaji, ubakaji, ufiraji, kupotea Kwa raia, na kubakwa kwa demokrasia Tanzania.

Watanzania wanaanza kuwashambulia Kwa maneno na kuwa unfollow wanaokipigia debe chama tawala. Millard Ayo amepoteza wafuasi laki 3 ndani ya saa12.

Mitandao yoooote ni no reform no election. Hii imepelekea taasisi za serikali na viongozi wakipost mitandaoni wanafunga comment.

Hii hali sijui itaisha vipi na Kuna Kila dalili watanzania wengi watasusia uchaguzi wa mwaka huu.

TUTAKUWEPO
Biashara za mitandaoni vijana wa Tanzania hawajui Zina ushindani kama za mitaani tu

Mange Kimambi anachofanya ni kuongexa subscribers kwake wawe wengi alipwe pesa nyingi kwa kupora subscribers wa wenzake

Kinachoshangaza utasikia ooh vijana tuna maisha magumu ajira hatuna lakini pesa za bundle kushinda tiktok na kwa mange kimambi wanazo .Wana simu nzuri zenye whatsapp na internet kutwa wana chat hizo pesa si waanzishe biashara au shughuli yeyote ya kuingiza pesa hata ya mtandaoni badala tu ya kutajirisha mange kimambi?
 
Ohoo kumbe ndiyo habari hiyo, ngoja tukamuunfollow chapa
Muongezee utajiri mwenzio kadri followers wanavyokuwa wengi ndivyo pesa inavyoingia kwake

Katega nyavu mumeingia kichwa kichwa mwenzenu anaingiza dola nyie mnapiga miayo
 
Biashara za mitandaoni vijana wa Tanzania hawajui Zina ushindani kama za mitaani tu

Mange Kimambi anachofanya ni kuongexa subscribers kwake wawe wengi alipwe pesa nyingi kwa kupora subscribers wa wenzake

Kinachoshangaza utasikia ooh vijana tuna maisha magumu ajira hatuna lakini pesa za bundle kushinda tiktok na kwa mange kimambi wanazo .Wana simu nzuri zenye whatsapp na internet kutwa wana chat hizo pesa si waanzishe biashara au shughuli yeyote ya kuingiza pesa hata ya mtandaoni badala tu ya kutajirisha mange kimambi?
Wewe unafanya nini humu asubuhi yote hii tena business day(Tuesday) si ilitakiwa uwe bize uko unafanya kazi. Wewe pia ulivyo huku JF unafatilia kila nyuzi ndivyo wao wapo huko kwa mange kimambi. Be the change you want to see in the world.
 
Back
Top Bottom