PreGE2025 Uhasama wa kisiasa Milllard Ayo apoteza wafuasi laki tatu ndani ya masaa 12

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Lazima uwe zezeta ndo uende kupiga kura mwaka huu, what for? CCM wamezoea sana kubebwa bebwa, hata kana hawana uwezo, mfano Samia, surely inakuwaje tumejipata kwa Rais ambae hawezi kukemea lolote baya nchini?, Rais hawezi kudebate any serious issues, utamuona ana kuja na karatasi zake, lakini kuelezea kwa kina chochote kuhusu mambo muhimu hawezi , very inferior president, hawa ndo walipata empty set mashuleni.
Ila hili linasikitisha aseee yani akiacha kusoma akiweka jicho pembeni hawezi kueleza chochote kile 😢😢😢
 
Hii hali siyo ya kawaida for the national stability.
Mitandao ya kijamii kunawaka moto Kisa utekaji, ubakaji, ufiraji, kupotea Kwa raia, na kubakwa kwa demokrasia Tanzania.

Watanzania wanaanza kuwashambulia Kwa maneno na kuwa unfollow wanaokipigia debe chama tawala. Millard Ayo amepoteza wafuasi laki 3 ndani ya saa12.

Mitandao yoooote ni no reform no election. Hii imepelekea taasisi za serikali na viongozi wakipost mitandaoni wanafunga comment.

Hii hali sijui itaisha vipi na Kuna Kila dalili watanzania wengi watasusia uchaguzi wa mwaka huu.

TUTAKUWEPO
Millard ni bonge moja la kibaraka.
 
Wewe unafanya nini humu asubuhi yote hii tena business day(Tuesday) si ilitakiwa uwe bize uko unafanya kazi. Wewe pia ulivyo huku JF unafatilia kila nyuzi ndivyo wao wapo huko kwa mange kimambi. Be the change you want to see in the world.
Asubuhi kwenu kwangu niliko ni usiku sio muda wa kazi
 
IMG_20250706_064808.jpg

Chadema walianzisha kampeni yao kabambe ya kuhakikisha wanasusia kabisa habari za nguli wa habari mtandaoni Millard Ayo.

Kelele zilikuwa nyingi na kupeana matumaini kuwa sasa watanzania wameamka.

Matokeo ya kampeni yao imekuwa ni aibu....zile comment za no reform no election zilikuwa ni kelele za wajinga wachache.

Millard Ayo ndio kwanza anaendelea kupiga steps kwa kasi ya ajabu watanzania wanamfatilia sana.

Hawa watu watazuia kweli uchaguzi? 😂😂
 
View attachment 3395910

Sawa JJ .K Kijana wa masham sham
 
Hata hizo comment za NRNE zilikuwa sehemu ya viewers! Bado zilimpromote tu.
Na huwezi jua huenda zilikuwa za Wakenya pia.
 
View attachment 3395910
Chadema walianzisha kampeni yao kabambe ya kuhakikisha wanasusia kabisa habari za nguli wa habari mtandaoni Millard Ayo.

Kelele zilikuwa nyingi na kupeana matumaini kuwa sasa watanzania wameamka.

Matokeo ya kampeni yao imekuwa ni aibu....zile comment za no reform no election zilikuwa ni kelele za wajinga wachache.

Millard Ayo ndio kwanza anaendelea kupiga steps kwa kasi ya ajabu watanzania wanamfatilia sana.

Hawa watu watazuia kweli uchaguzi? 😂😂
Sisiemu je yenye wanachama 13 Million inamaana hata nusu hamna smart phone?
 
hawa watu sijui hata wanafikiriaga nini, No reformyenyewe hata chadema wenyewe hawaielewi maana ukisema hivi wanasema , sisi hatunyamaanisha hivyo, sasa je? bibi, babu, kijana aliyeko kijijini ukimwambiwa no reform ataelewa kwel km aliyeanzisha na wafuasi wake wenyewe wanabishana hawaelewi maana yake,?? mbaya zaid wametumia kingereza wakati 95% ya watanzania hawajui kingereza,
 
hamna chama hapo......kwanza hata wananchi huwa wanaenda kumshangaa for entertainment tu na si vingine,,,,,huyu maaaaama,,,,hahaha poor lissu
 
hawa watu sijui hata wanafikiriaga nini, No reformyenyewe hata chadema wenyewe hawaielewi maana ukisema hivi wanasema , sisi hatunyamaanisha hivyo, sasa je? bibi, babu, kijana aliyeko kijijini ukimwambiwa no reform ataelewa kwel km aliyeanzisha na wafuasi wake wenyewe wanabishana hawaelewi maana yake,?? mbaya zaid wametumia kingereza wakati 95% ya watanzania hawajui kingereza,
Wanasema ukiuliza tunazuiaje uchaguzi umetumwa na CCM wewe unatakiwa kufata kama nyumbu
 
View attachment 3395910
Chadema walianzisha kampeni yao kabambe ya kuhakikisha wanasusia kabisa habari za nguli wa habari mtandaoni Millard Ayo.

Kelele zilikuwa nyingi na kupeana matumaini kuwa sasa watanzania wameamka.

Matokeo ya kampeni yao imekuwa ni aibu....zile comment za no reform no election zilikuwa ni kelele za wajinga wachache.

Millard Ayo ndio kwanza anaendelea kupiga steps kwa kasi ya ajabu watanzania wanamfatilia sana.

Hawa watu watazuia kweli uchaguzi? 😂😂
Ulishawahi kufanya research sehemu yoyote kwenye maisha yako?
Siyo kuandikiwa namanisha kufanya???
 
Kuna sababu kwa nini Nyerere alikubali 20% ya watu waliotaka mfumo wa vyama vingi na asilimia 80% walioupinga mfumo huo.

Imagine 80% ya watanzania wa enzi hizo waliona bora waendelee kuongozwa na chama kimoja.

Sikubaliani au kupinga watuwanaosema no reforms no election, ila nawakubali kwa kuwa na mawazo mbadala. Nchi nzima hatuwezi kuwa na akili moja kama nyumbu, lazma wawepo watu walio hai kifikra watakaoleta alternative thoughts
 
hawa watu sijui hata wanafikiriaga nini, No reformyenyewe hata chadema wenyewe hawaielewi maana ukisema hivi wanasema , sisi hatunyamaanisha hivyo, sasa je? bibi, babu, kijana aliyeko kijijini ukimwambiwa no reform ataelewa kwel km aliyeanzisha na wafuasi wake wenyewe wanabishana hawaelewi maana yake,?? mbaya zaid wametumia kingereza wakati 95% ya watanzania hawajui kingereza,
Vijijini wangeelewa unafikili wangepokea vikofia vyenu na kanga? Wangewafukiza.
Alafu mnaongea Kama wajinga Kama mleta mada. Toka lini habari za muhimu zikawa na maana Tanzania kuzidi udaku?. Ayo sehemu nyingi ni habari za ujinga ujinga na udaku ndiyo wanachopenda mazwazwa wa kibongo.
We mtu na akili yako unaongwa kofia?. Nchi inamazezeta sana hii.
 
Back
Top Bottom