PreGE2025 Uhasama wa kisiasa Milllard Ayo apoteza wafuasi laki tatu ndani ya masaa 12

PreGE2025 Uhasama wa kisiasa Milllard Ayo apoteza wafuasi laki tatu ndani ya masaa 12

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Hii hali siyo ya kawaida for the national stability.
Mitandao ya kijamii kunawaka moto Kisa utekaji, ubakaji, ufiraji, kupotea Kwa raia, na kubakwa kwa demokrasia Tanzania.

Watanzania wanaanza kuwashambulia Kwa maneno na kuwa unfollow wanaokipigia debe chama tawala. Millard Ayo amepoteza wafuasi laki 3 ndani ya saa12.

Mitandao yoooote ni no reform no election. Hii imepelekea taasisi za serikali na viongozi wakipost mitandaoni wanafunga comment.

Hii hali sijui itaisha vipi na Kuna Kila dalili watanzania wengi watasusia uchaguzi wa mwaka huu.

TUTAKUWEPO
Uchaguzi wa mwaka huu utakuwa ni VICHEKESHO tu. Watu huku mtaani wamejipanga kutoshiriki kupiga. Karibu kila mkuu wa kaya amezuia familia yake kwenda kupiga kura. Sababu za msingi wanazotoa ni CHADEMA kuondolewa kwenye uchaguzi.
Hii No Reforms No election imewaingia sana watu na wameielewa vilivyo.
Watawala waache kushupaza shingo zao.
Wamwachie huru Tundu Lissu. Wakubali kufanya mazungumzo na CHADEMA. Wakubali kufanya reforms japo kiasi ili vyama vyote viweze kushiriki uchaguzi, vinginevyo uchaguzi wa mwaka huu HAUTATAMBULIKA kimataifa. Wakilazimisha, viongozi watakaochaguliwa watapigwa VIKWAZO na jamii ya kimataifa na hawataruhusiwa kwenda popote nje ya Nchi.
 
Mimi binafsi nafiki Chaumma inaenda kuwa chama kikuu cha upinzani. Miundombinu yao, walivyopinga brain yote ya chadema ipo pale. Salum Mwalimu, Kigaila, Ruge, Mrema ,Ntobi ni powerful combination, nguvu kubwa.
Waliwahi kugombea nafasi gani wakashinda hao watu uliowataja?
 
Vyovyote, hi hivi Chadema wangeenda kwenye uchaguzi kupigania kuondoa ufisadi, dhuluma, uonevu, kupigania haki.

Hii nguvu ingekuwa more effective kukiunganisha chama zaidi ya maneno ya kitoto ya Lema na Lissu kwamba tutakinukisha. Sijawahi kumsika Heche akisema huu utoto ukijua huwezi kufanya chochote.
Kwani mkuu kauli ya kukinukisha wewe uliinukuu vipi?
 
Uchaguzi wa mwaka huu utakuwa ni VICHEKESHO tu. Watu huku mtaani wamejipanga kutoshiriki kupiga. Karibu kila mkuu wa kaya amezuia familia yake kwenda kupiga kura. Sababu za msingi wanazotoa ni CHADEMA kuondolewa kwenye uchaguzi.
Hii No Reforms No election imewaingia sana watu na wameielewa vilivyo.
Watawala waache kushupaza shingo zao.
Wamwachie huru Tundu Lissu. Wakubali kufanya mazungumzo na CHADEMA. Wakubali kufanya reforms japo kiasi ili vyama vyote viweze kushiriki uchaguzi, vinginevyo uchaguzi wa mwaka huu HAUTATAMBULIKA kimataifa. Wakilazimisha, viongozi watakaochaguliwa watapigwa VIKWAZO na jamii ya kimataifa na hawataruhusiwa kwenda popote nje ya Nchi.
Mimi nilivyoinukuu kauli ya kukinukisha ndio hiii sasa kuwapa somo wananchi liwaingie wasiende kupiga kura
 
G boy endelea chochea maombi ya saba kavu viazi vinakaribia kuiva.
Hatutaki utekaji, ubakaji,ufiraji,mauaji nchini kwetu akayapelekwe kwao ufirauni huo.
 
Uchaguzi wa mwaka huu utakuwa ni VICHEKESHO tu. Watu huku mtaani wamejipanga kutoshiriki kupiga. Karibu kila mkuu wa kaya amezuia familia yake kwenda kupiga kura. Sababu za msingi wanazotoa ni CHADEMA kuondolewa kwenye uchaguzi.
Hii No Reforms No election imewaingia sana watu na wameielewa vilivyo.
Watawala waache kushupaza shingo zao.
Wamwachie huru Tundu Lissu. Wakubali kufanya mazungumzo na CHADEMA. Wakubali kufanya reforms japo kiasi ili vyama vyote viweze kushiriki uchaguzi, vinginevyo uchaguzi wa mwaka huu HAUTATAMBULIKA kimataifa. Wakilazimisha, viongozi watakaochaguliwa watapigwa VIKWAZO na jamii ya kimataifa na hawataruhusiwa kwenda popote nje ya Nchi.
Kina Mwesigwa walijaza mabiliion Kwa kina Mrema na Kigaila, kilichowakuta hawatorudia.

Mwesigwa Richard ebu jikite kujenga kwenu Nyarubanja-Rukurungo, Bugandika Wilaya ya missenyi.
 
Baada ya kudharauliwa kwa muda mrefu Watanzania sasahivi wamejipata. Kuna Jeshi la Mashambulizi limezaliwa Jana Tanzania linaitwa Tanzanians on Instagram (IG). Watu hawa wameanza kazi jana tu ila Pages zote za Serikali na machawa zilifunga comment sections. Mashambulizi yao nyuki wanasubiri😄
 
Sababu Chadema haipo, December Chaumma, ACT zitakuwa more popular than Chadema.

Sababu Kwa miezi mitatu kuanzia July to October Chadema itakuwa kimya, kupinga uchaguzi. Wenzao watakakampeni kufanya reforms ndanj ya uchaguzi.
ACT bado sana labda uiogezee miaka 10 ijayo ACT hii watu wanaona ina udini ndani yake bara haiwezi kutoboa
 
Ili swala tunge anza muda mrefu
Sema hamna shida
 
Back
Top Bottom