AlP0L0
JF-Expert Member
- Apr 23, 2011
- 7,069
- 5,899
Nami tayari sumfuati tena.Mamaaee nilkuwa sija unfollow nami naenda kuwa'unfollow
Nami tayari sumfuati tena.Mamaaee nilkuwa sija unfollow nami naenda kuwa'unfollow
Na hii ndiyo shida kubwa ya chama changu. Tunapaswa kuona na kukubali kuwa nyakati zimebadilika sana, mbinu za kisiasa tunazotumia ni za karne iliyopita. Tumelewa madaraka na hatuoni hali halisi, ni suala la muda tu na tutashtuka tukiwa tumechelewa.Minard Ayo kafanyaje hadi wamsusie? Juzi kuna Nabii wa nchini Kenya alitoa ushauri kwa Rais na akamwambia afungulie kanisa la Gwajima na asitakebkugombana na Mungu. Pia akasema hakuna mtu anayeweza kuzuia wazo ambalo muda wake umefika!
Sasa utamlaumu mtu kama millad ayo kwa kipi watu wanatishwa na yeye ameangaika kuijenga online tv yake kwa miaka..Hii hali siyo ya kawaida for the national stability.
Mitandao ya kijamii kunawaka moto Kisa utekaji, ubakaji, ufiraji, kupotea Kwa raia, na kubakwa kwa demokrasia Tanzania.
Watanzania wanaanza kuwashambulia Kwa maneno na kuwa unfollow wanaokipigia debe chama tawala. Millard Ayo amepoteza wafuasi laki 3 ndani ya saa12.
Mitandao yoooote ni no reform no election. Hii imepelekea taasisi za serikali na viongozi wakipost mitandaoni wanafunga comment.
Hii hali sijui itaisha vipi na Kuna Kila dalili watanzania wengi watasusia uchaguzi wa mwaka huu.
TUTAKUWEPO
Yupo Upande Wa Yale Mabumunda Ya Iyena IyenaYeye yuko upande gani, wa watekaji au wa Wananchi?
Unsubscribe tu mkuu ni easyNaomba procedure za ku unfollow maana mi mwnyw sipendi kuwa sehemu yake
Hapana kwa chama chetu sio swala la mjinu wanazotumia kisaikolojia ukiona mtu yupo teyari kuumiza mtu au ata kuuwa tena bila woga au kuficha ujue huyo mtu amefanya jambo la ovyo hivyo anataka kuficha uchafu wake kwa gharama yyte ile..na kisingizio kikubwa wanasema wanafanya sababu ya uzalendo uzalendo.Na hii ndiyo shida kubwa ya chama changu. Tunapaswa kuona na kukubali kuwa nyakati zimebadilika sana, mbinu za kisiasa tunazotumia ni za karne iliyopita. Tumelewa madaraka na hatuoni hali halisi, ni suala la muda tu na tutashtuka tukiwa tumechelewa.
Na hii ni dalili kuu ya anguko letu. Tumeshindwa kujifunza toka vyama vingine vikongwe vya Afrika vilivyoanguka bila kutarajia. Tumefikia hatua ya kutaka kubaki madarakani kwa gharama yoyote ile. Kuna mambo yanafanyika dhidi ya watanzania wenzetu yanasikitisha na kutia hasira.Hapana kwa chama chetu sio swala la mjinu wanazotumia kisaikolojia ukiona mtu yupo teyari kuumiza mtu au ata kuuwa tena bila woga au kuficha ujue huyo mtu amefanya jambo la ovyo hivyo anataka kuficha uchafu wake kwa gharama yyte ile..na kisingizio kikubwa wanasema wanafanya sababu ya uzalendo uzalendo.
Mimi ni ccm ila sikubaliana na yanayoendelea sasa tunafanya mambo mabaya ambayo yanaharibu legacy nzuri aliyoanza nao mama washauri na machawa aliyonao karihu sio watu wanzuri kabisa.
Umenikumbusha na Mimi huyu CHAWA wa CCM nikapige tofaliHii hali siyo ya kawaida for the national stability.
Mitandao ya kijamii kunawaka moto Kisa utekaji, ubakaji, ufiraji, kupotea Kwa raia, na kubakwa kwa demokrasia Tanzania.
Watanzania wanaanza kuwashambulia Kwa maneno na kuwa unfollow wanaokipigia debe chama tawala. Millard Ayo amepoteza wafuasi laki 3 ndani ya saa12.
Mitandao yoooote ni no reform no election. Hii imepelekea taasisi za serikali na viongozi wakipost mitandaoni wanafunga comment.
Hii hali sijui itaisha vipi na Kuna Kila dalili watanzania wengi watasusia uchaguzi wa mwaka huu.
TUTAKUWEPO
Sisi watanganyika tulioolewa na wapemba itakuaje sasaMuungano ufe kila mtu akae kwake
Miaka yote chadema wamekuwa wakifanya hivyo ila kwenye uchaguz wanafanyiwa vituko, unyama na mifumo. Kwa nini waendelee na niia hiyo hiyo?Vyovyote, hi hivi Chadema wangeenda kwenye uchaguzi kupigania kuondoa ufisadi, dhuluma, uonevu, kupigania haki.
Hii nguvu ingekuwa more effective kukiunganisha chama zaidi ya maneno ya kitoto ya Lema na Lissu kwamba tutakinukisha. Sijawahi kumsika Heche akisema huu utoto ukijua huwezi kufanya chochote.
Mimi na familia yangu yote, hatutatoka ndani siku hiyoNo reforms No election. Na tutauzuia siyo kususia....Nione kimama kinajipendekeza kwenda kupiga kura siku ya uchaguzi. Kitajuta kuzaliwa!
Hakuna MTU atashiriki uchaguzi...mark my wordHii hali sijui itaisha vipi na Kuna Kila dalili watanzania wengi watasusia uchaguzi wa mwaka huu.
Upande wa CCMatekaji, CCMauaji, CCMabakaji, CCMafiraji, CCMatesaji, CCMafisadi.Yeye yuko upande gani, wa watekaji au wa Wananchi?
Hakikisha na katika familia yako hakuna mtu anatoka 😂😂 akijaribu kutoka mpekue uhakikishe hana kitambulishoMimi Siku ya kura itakuwa Siku ya kulala tuu...