PreGE2025 Uhasama wa kisiasa Milllard Ayo apoteza wafuasi laki tatu ndani ya masaa 12

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
hamna chama hapo......kwanza hata wananchi huwa wanaenda kumshangaa for entertainment tu na si vingine,,,,,huyu maaaaama,,,,hahaha poor lissu
Hakuna chama ila mnawakamata wanachama wao na kuwafungulia kesi na wengine kuwaua. Kama mnajiamini na mnachama kwanini mtegemee vyombo vya dola?
 
sasa mjinga ni yupi, anayetumia milion of shs, to send the infomation to the people in wrong ways without even himself knowing the information not yet delivery to the intended people, at the same time insulting and chasing those alert and open their eyes , on pouring the water in bags with holes, otherwise change the style. utabaki ukiona kila mtu ni mjinga kwa sababu unajiona unaakili sana kuliko wengine, lets wait, wewe endelea kuana kila mtu ni zezeta.
 
Zamani tukiwa wadogo tulijua kuna mwa wa aina mbili, mbwa koko na mwa wa kizungu; sasa sijui kumeibuka na aina ya tatu ya mbwa, nimeuliza tu
 
Chadema ni chama cha madikteta na a kisicho cha demokrasia maana wao wanataka kila Mtanzania afuate sera zao na mtazamo wao. MTANZANIA ambaye hawaungi Mkojo wanamfanya ADUI YAO. Hiyo ni dalili halisi ya chama kisicho na demokrasia na kilichojaa udikiteta. Ni hatari sana kwa hiki chama kuongoza nchini yetu
 
Mimi hata sioni kama ni aibu kwa sababu hiyo idadi aliyoipata sio staili yake, angekua ni mtu wa kubalance story zake idadi ingekua zaidi ya hiyo, amechemka, mimi binafsi nimemuunfollow na simtaki tena
 
Mwanzoni mwa miaka ya 90 kulikuwa na project ya mabeberu kuhakikisha nchi zetu zinafuata demokrasia yao ya vyama vingi. Kusema Nyerere alikubali 20% bila shinikizo la mabeberu ni kuficha ukweli. Ilikua tutake tusitake lazima vyama vingi viwepo.
 
Yaani unaleta haya hapa wakati baba yako,mjomba,kaka na bibi zako wamepewa baiskeli waliyoinunua kwa 1.4M na kuambiwa kuwa wamepewa bure kwakuwa wewe umeshindwa kumnunulia baiskeli ya 180K?
 
Mwanzoni mwa miaka ya 90 kulikuwa na project ya mabeberu kuhakikisha nchi zetu zinafuata demokrasia yao ya vyama vingi. Kusema Nyerere alikubali 20% bila shinikizo la mabeberu ni kuficha ukweli. Ilikua tutake tusitake lazima vyama vingi viwepo.

Upo sawa kabsa lakini Kwani kwa sasa hakuna global politics au na wewe ni moja kati ya wale wanaoamini kuwa Africa ipo huru kujiamulia inavyotaka haswa kwa nchi ambazo hata mashimo ya vyoo vya shule ni kwa msaada wa wahisani ?.....
 
Ungesoma alichoandika na nilichomjibu ungeelewa zaidi nilichomaanisha na jinsi mada ilivyoletwa. Hakuna siku ccm watadilibna kuwaelimisha watanzania. So wanatumia uzezeta wa watu kuwapa kofia. Na ndicho kinachopelekea habari za kikudi zikawa na maana kwa wabongo kuliko za kuelimisha . Msome mleta mada. Msome niliyemjibu. Alafu linganisha. Siyo kofia kanga na ubwabwa watalishwa sana MAZEZETA kwenye ili taifa letu. Uzezeta ni mtaji wa watu kwa hiyo lazima huu mradi uendelezwe ndiyo maana watu wanakuja na kusifia ujinga na habari za kikuda
 
Lengo ni kutamka neno chadema tu huna lolote we poyoyo
 
Upo sawa kabsa lakini Kwani kwa sasa hakuna global politics au na wewe ni moja kati ya wale wanaoamini kuwa Africa ipo huru kujiamulia inavyotaka haswa kwa nchi ambazo hata mashimo ya vyoo vya shule ni kwa msaada wa wahisani ?.....
Mkuu ni kweli mambo mengi hawajiamurii. Lakini angalia waafrika wengi wakijiamulia ndiyo Kama hivi ni kuteka kutesa na kuuwa raia wao. Maviongozi ya kiafrica mengi yao Yana akili za kipumbavu sana.
Yanashindwa kushindanisha upeonwa kiakili na ufahamu kabisa kazi ni kuuwa tu basi.
 
Usipojua kudili na adui yako vizuri unaweza kuta ukawa unafanya kazi ya kumpiga teke Chura.

Binafsi sipendi uongo uongo hivyo sipendi siasa.
 
zezeta ni wewe unayesema no reform alafu hamjui hata mnataka nini, unaanza kusema et km una D mbili uwez elewa maana ya no reform no election , sasa huku mjin tunashindwa kuelewa na wewe mwenyewe ujui unata nini, na walio huko vijijin ndio wataweza kuelewa?? nyie ndio mazezeta ni watanzania unaowaita mazezeta, uzezeta umewapa wewe
 
Mimi hata sioni kama ni aibu kwa sababu hiyo idadi aliyoipata sio staili yake, angekua ni mtu wa kubalance story zake idadi ingekua zaidi ya hiyo, amechemka, mimi binafsi nimemuunfollow na simtaki tena
sasa mbona ameongezeka mara dufu badala ya kushukaa??
 
Kuna namna fulani CHADEMA, katika siku za karibuni, inaonekana kama wamepwaya. Ni muhimu wajitathmini upya mikakati yao, maana inaonekana mashine ya propaganda na mbinu za upotoshaji zinazotumiwa na utawala zimeanza kuwazidi nguvu.
 
Una akili fupi sana. Mgawa kofia na kanga
 
Nimemuelewa sana Mnyika kuandika barua kuomba tushiriki uchaguzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…