Uhispania ni moja ya Timu ninayoipenda na kuishabikia+Argentina na Morocco

Uhispania ni moja ya Timu ninayoipenda na kuishabikia+Argentina na Morocco

Morocco forever

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2016
Posts
7,121
Reaction score
6,879
1-Uhispania ni moja ya timu ninayoipenda na kuishabikia, na ligi yao vile vile nimetokea kuipenda sana, pia ni shabiki wa Barcelona....

2-Argentina ni first team kuipenda na kuishabikia, tena kitambo haswaa..

3-Morocco the second team kuipenda na kuishabikia, haijalishi wametolewa
-------------------------------------------
Uhispania ukiachana na mpira wao wa kuvutia, pia wana utu/huruma na ubinaadamu pia....wamekuwa bega kwa bega na ndugu zetu WaPalestina kwa madhila na tabu wanayopitia...wamejitoa mhanga, hawakumuogopa nani wala nani, si Marekani, mtoto wake Israel wala Jumuia ya Nato... hivyo sina budi kuendelea kuwapenda na kuwakubali uhispania in shaa Allah...kila la kheri kwao katika ushindi dhidi ya ufaransa....HOPE tutashinda Semi Final kwa mara ya tatu mfululizo From
👇
EURO 2024 Semi final...Spain 2-1 Ufaransa
DANI OLMO👉MOTM

2025 Uefa Nations League Final...Spain 5-4 Ufaransa
LAMINE YAMAL 👉MOTM

2026 Kila la kheri Uhispania
Palestine will be free in shaa Allah 🇵🇸 ❤❤❤ Aamiin 🤲
 
Sasa mbona hio Argentina ni mjomba ake Israel au hulijui Hilo...
Na ni wabaguzi rangi balaah waliua kizazi Cha watu weusi wote nchini au kuamrishwa waende Brazil,Colombia, Ecuador na Jamaica uko Kwa weusi wenzao walikojaa.... Spain kidogo ubaguzi rangi wamepunguza sana nowdays
 
Wakati wanauwa weusi ulikuwepo? Mwenzetu kumbe ni old man sio?
 
Back
Top Bottom