Uholanzi kutoruhusu wahamiaji kutoka Mashariki ya Kati kuigeuza Amsterdam kuwa Gaza ya Ulaya

Kama wachungaji ndio awa wanaleta kwenye jamiii waumini kama nyie waongo waongo ndio mana nasema Bartazar kafutiwa zambi zote baada tu kula mke w mchungaji wake sababu ni mchungaji alitakiwa kumfanya Bartazar asiwe na pepo la ngono na kudhingatia Bartazar alikuwa akitoa SADAKA nono apo kijiweni lkn akupata mlejesho kiasi sasa yupo matatani muumini wake!!! Uyu mchungaji akija tena Bartazar kuungama zsmbi zake kwake mchungaji ikiwa kweli mchungaji kifuani kwake ananeno la uponyajii basi anaweza kumuombeya iyo siku atatimiza kazi yake kisawasawa atsmkemea pepo chafu la ngono la Bartazar kwa sauti kubwa sijui iyo siku kama mchungaji akujambo!! ktk pilikapilika za kuneno kwa sauti kuuu akilini akiwaza ile picha ya mkewe na Bartazar daaa acha tuu iyu jamaa ivi nawaza watu wanajiuwa kisa kufamania au kuisi kusalitiwa sasa awa wenye wake zao uko mjuwe wameona kwenye video kabisaaa mkewe akichapwa ivi kama sisi uku naona vifo vingekuwa vingi adi leo. Inauma sana mtu waziri na bado mtu anakugongeya!!!! Hii kashfa kubwa sana mungu atuepushe nayo. Niwatakie asubui njema.
 
Kifuatacho vita vya dini,waislam na wayahudi,halafu kristo mabambucha nayo yataingilia upande wa wayahudi,mwisho wa vita wanajikuta wametumika na yahudi kama toilet paper tu.
Wayahudi wanabaki kama wayahudi.
 
Ugaidi mnaoufanya ni wa kiwango cha hatari, mnaua watu kisa dini, na hata miagizwa mdhihirishe huyo 'mungu' wenu hamuwezi.
Bahat nzuri kila mtu anakujua kua ww ni nguruwe mwenye chuki .
Kila cku utaanzisha Uzi wa kuuponda uislam ,
ebu jikite kwenye dini yako kabla ujashambulia dini ya wenzako
 
Tunaposema wafuasi wa mudi hamnazo wewe ni mfano sahihi kabisa
 
Yan uko namtumbo ila unayajua ya Amsterdam kuliko waliopo pale, hakuna mtu mwingine isipokua kobaz ndio atafanya ujinga uo, yan mchina awafanyie fujo Jews kisa gaza
Kondoo akili zenu
 
Kwenye habari kuu hakuna waislam wala waarabu waliotajwa ,ila hawa kondoo wakaona wajiongoze kwenye heading zao
 
Kwanini hao wenye hasira wasiende kupigana huko Gaza dhidi ya majeshi ya Israel
 
Wapigwe tu mama hakuna namna nyingine. Waisraeli ni washamba sana. Wanaua watoto na akina mama wasio na hatia. Wafanywe kama kipindi cha nyuma wakionekana popote duniani washambuliwe. Ndio watashika adabu Yao.
 
Wewe naye umezidi roho mbaya, mmmwenzako tangu point ya kwanza ameanza kuhamisha magoli baada ya kuona maji aliyodhani ni ya ugoko yamemfika puani, wewe unazidi kumpa mbata tu, unataka umchemshe umuuze akiwa supu au?
Ameshatepeta huyu si unaona ammmeshainama huku suruali ipo magotini tayari.
 
Mkiwaendekeza hawa watu mmekwisha. warudisheni kwao kwa nguvu
 
 

Attachments

  • images - 2024-10-25T062939.570.jpeg
    14.7 KB · Views: 1
Kinachofanyika Gaza possibly sio kizuri but kilichofanyika huko Uholanzi ni kizuri?
 
Dini ya Hakhi
 

Attachments

  • images - 2024-10-25T062723.391.jpeg
    60.1 KB · Views: 2
Unatoa hiyo vedrict ukiwa upo bongo ? Let waholanzi waliokuwepo eneo husika na vyombo gua usala vya hapo ndio wanaojua wahusika
 
unachopaswa kufahau Israel imeua wananchi wengi wa Palestine before hio Oct 7, jaribu kufuatilia vitu......
So nani aliwatuama hamas kutekeleza lile jambo knowing kabisa wanaenda kuanzisja conflict na full military si kikundi, walipoga mahesabu ya outcomes and side effect watakapo tekeleza hayo mambo?
 
Wakati nchi za Ulaya wanajifanya wema sana kuwakaribisha wakimbizi fake toka nchi za Kiarabu tulishawaonya kwa lugha mbalimbali hawakutuelewa. Walituona nyani kasoro mikia. Sasa ngoja wakipate na bado. Waarabu wamehamia Ulaya kazi yao kubwa kununua makanisa na kugeuza misikiti. Wazungu mabwege sana.
 
Mnashida sana Mauwaji ya Watoto Uko Gaza mliyasapoti na kuona halali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…