Uholanzi kutoruhusu wahamiaji kutoka Mashariki ya Kati kuigeuza Amsterdam kuwa Gaza ya Ulaya

Taarifa ya siri ya CIA iliwahi kutamka kuwa baada ya kuvunjika kwa USSR, uislam ndio hatari kubwa kwa amani ya Dunia. Wengi tulipuuza, lakini sasa taratibu ukweli unaanza kuonekana. Fikiria wahamiaji wa kiarabu wamekwenda kujifadhi Ujerumani na Uingereza, leo wanaandamana wakitaka Ujerumani na Uingereza ziongozwe kwa shetia za kiislam, na siyo katiba ya nchi.

Hili ni angalizo. Nchi yoyote itakayokaribisha waarabu wengi, inajitengenezea hatari ya kupoteza amani yake siku za mbeleni.

Ni vema mataifa yakaweka sheria kali za wahamiaji wa kutoka nchi za kiarabu. Atakayeruhusiwa kutoka nchi hizo za kiarabu, awe amefanyiwa screening ya hali ya juu. Shida ya hawa watu, hata wakifadhiliwa ugenini, baada ya muda watataka kulazimisha jamii nyingine zifuate matakwa yao. Hawajui sheria wala katiba, na kuua kwao wamelifanya kuwa ndiyo suluhisho dhidi ya kila anayetofautiana nao. Taratibu mataifa ya Ulaya yataelewa kwa nini Waisrael wamewawekea sheria kali sana waarabu wa Palestine kuingia Israel. Kwenye yale mageti ya Israel, mwarabu akitaka kuingia Israel, wakati anahojiwa anatakiwa anyoshe mikono mbele au juu, akiingiza tu mkono mfukoni au akapeleka mkono kiononi, anawahiwa kwa risasi, kwa hofu kuwa huenda amejifunga bomu anataka kujilipua, au anataka kuchukua pisto au hata kisu. Hawa watu ni hatari kuliko hata black mamba.
 
Hivi chanzo cha haya yote ni nini? Je, wanachofanyiwa mateka huko walipo zaidi ya mwaka mzima ni nn?

Sasa uivu hatusikii watu kijadili uvamizi wa Oktoba 2023 na mateka. Tunajadili Gaza na wanawake na watoto kama vile ni haki kwa wanaume kufa.

Israel inaua wanawake na watoto. Je, waliouawa 2023 Octoba 7, wote 1,200 walikuwa wanaume pekee?

Tuache unafiki.

Mauaji ya Palestine au Gaza hayakubariki sawa na mauaji wa Israel Oktoba 2023. Lakini hakuhalalishi wanamichezo wa Israel kushambuliwa. Hii inaashiria hawa jamaa wamedhibitiwa tu, wangekuwa na upenyo na nguvu wangeua wayahudi wote kushinda tunachokishuhudia pale Gaza leo.
 
Safi sana
 
Acha wauwane mimi inanihusu nini? Sina undugu na waarabu wala sina undugu na waizraeli.

"MUNGU NA MASELA"
 
Nioneshe mahali palipoendelea baada ya uhamiaji wa waislamu
Kenya apo wasomali wadhitibi uchumu wa kenya uliza iyo Nairobi seem kwenye uchumu mkubwa nani wamiliki utaambiwa wasomali abishe uyo mkenya wenu wa kibera au ukunda mwandoni,wakenya kaziyao mkuu chuki kuimba kwaya kuvizia waimba kwaya kupiga propaganda za kiDini au ukabila akuna zaid kutwa kucha kazi ndio iyo sisi wengine atuna chuki za kidini tumezaiwa mahospitali ya kanisa atuoni msingi wa alakati mfanyazo zaid zinaleta chuki japo sio kwa atua kubwa ukoangalia wa wanaingia umu na na kutoka yumkini watu 1000 au wachache zaid ukitoa esabu ya wale wanaingia na kutoka na kuingia tena esabu itakuwa pengne watu mia 600 ktk milioni 60 mnatwanga maji kwenye kinu. Lkn kwakua amna kazi za kufanya mkaongepewa ndio kupigana na UISLAMU ndiouko kazi na iyendelee kila mtu na zigo lake. Akili kila mtu anazake. Mimi niwatakie kazi njema lkn Watanzania watabaki ndugu nyiwe amna uwezo w kuwafikia kwa idadi kama iyo 600 kati 60milion
 
Wote waliohusika watapelekwa Gaza kwenye makambi
 
Hapo Europe wameshachelewa wanakumbuka shuka kumekucha watarajie wasiyoyatarajia kutoka kwa ndugu zangu ktk Imani.
 
Wapalestina walipoishambulia Israel jumlisha vijana wetu wa Kitanzania, hawakuua Wanawake na Watoto kwenye shambulizi lile?

Kwanini Waisrael wakiua Wanawake na Watoto wa Kipalestina ionekane wamefanya makosa makubwa sana?
 
Wayahudi wamecheza kichapo cha maana goli 5 kwa nunge na kupigwa vitasa vya kutosha 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣👋
 
Wafukuzwe kabisa.
 
Piga hayo magaidi ya Kiyahudi
 
Umeeka habari ya waziri wa Uholanzi then ukaweka tweet Ya wilder kudanganya Uma, vp na polisi wa Uholanzi wanasema je? Tuwasikilize polisi WA Uholanzi ama Wilder ambaye kila mtu anajua ni puppet wa Netanyahu?
 
Achana na hio oct 7, nyuma Israel ndio walianza kuua hao Paleatinians, hio oct 7 hao wapalestina walikua wanafanya retaliation.
 
Kwani jews wao wana faida gani?
 
Mbona hatusikii cases za wahindi,wachina na jamii nyingine isipokuwa waislamu?Kuna shida kubwa sana na hii dini na kizuri wazungu wameanza kustuka
Sasa Uhindi na Uchina na utaifa halafu uislamu ni dini, jaribu kutofautisha...
 
Acha waishi Ulaya, wazungu so ndio wamewafuata kuwavamia na kupiga nchi zao, we unataka waende wapi?
 
So nani aliwatuama hamas kutekeleza lile jambo knowing kabisa wanaenda kuanzisja conflict na full military si kikundi, walipoga mahesabu ya outcomes and side effect watakapo tekeleza hayo mambo?
Hapana sidhani kama walitambua matokeo yatakuaje.
 
Una
Unajua kwanini Hitler aliwaua??
Alishawishiwa na rafiki yake kutoka mashariki ya kati!

Hitler alikua na mpango wa kuwafukuza ujerumani. Waarabu kwa kujua kua wakifukuzwa watarudi mashariki ya kati bas hasa jerusalem mufti anaeitwa , Hajj Amin al-Husayni.
Hivo waarabu pia ndio kitovu cha mauaji ya kimbali ya wayahudi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…