CHADEMA watawateteaHawa wezi wapewe kesi ya uhujumu uchumi, haiwezekani Serikali iingie gharama kubwa kwenye miradi halafu mtu aje kuhujumu kirahisi hivi.
Mama anadhani wizi unakomeshwa nanaskari mmoja tu. Hapo wa kumkemea ni IGP kwa nini wizi inaongezeka au abadilishwe? Sio kuanza kutafuta askari gani sijui arudishwe then huko alikopelekwa alinde nani? IGP hili ni tusi kwake kwamba ameshindwa kudhibiti uhalifu. Mbadilishe maana amezoea kutoa mimacho tu nae kama le profeseli majalala.Yule askari wa mwanza nani yule aliedhibiti wizi arejeshweeee
Achen uchawi nyie, mnapambana sana kuaminisha umma kua Rais Samia hafai, lkn hamtofanikiwa. Kashafariki Imeisha hiyoo.Najua ipo siku moja mtanikumbuka kwa mema yangu na sio kwa mabaya.(R.I.P JPM)
Wezi na majangili wa lasrimali za Taifa hili wameshaanza kurudi kwa kasi.
Mnafanya upuuzi wenu ili mumkomoe raisi wetu kipenzi...hamna nafasi na hakuna mtanzania atayemkukuka sahau hilo...tupo kwenye furaha iliekosekana kwa miakaNajua ipo siku moja mtanikumbuka kwa mema yangu na sio kwa mabaya.(R.I.P JPM)
Wezi na majangili wa lasrimali za Taifa hili wameshaanza kurudi kwa kasi.
Imetoka hiyo tatorudi na hahitajiki mnajisumbua tu..Nilijua tu make site ni kwa chuma ndo aliweza kulala hadi kwenye madaraja ...wizi kila kona sahvi na ndo kwanza miezi 2 bado. Ungozi siyo lelemama na wasione vyaelea jamani wapo waliokuwa tayari kufa kwa ajiri ya nchi ila sasa walaji wamekaribishwa tena
Waulize pale Morogoro wapokamatwa wezi wa vyuma vya reli, jamaa alikuwa bado haiWatu wanataka kutuaminisha kua kipindi cha jiwe hakukua na wizi ila baadabya kufariki ndo wizi umeibuka. Wizi ulkuwepo sana labda hofu ya kutangaza ilkua kubwa.
Unataka kutuaminisha huo wizi mkubwa hivyo umefanyika ndani ya mwezi mmoja unusu?Najua ipo siku moja mtanikumbuka kwa mema yangu na sio kwa mabaya.(R.I.P JPM)
Wezi na majangili wa lasrimali za Taifa hili wameshaanza kurudi kwa kasi.
Wanajitoa akili na kujisahaulisha ili "kiongozi wa malaika" asafikeWaulize pale Morogoro wapokamatwa wezi wa vyuma vya reli, jamaa alikuwa bado hai