Hivi Vyuo siku hizi ni kama magenge ya wahuni flan kuanzia Serikali za wanafunzi ni upuuzi mtupu kazi yao kuganga njaa kutwa kupanga mipango ya kupinduana badala ya kushughulikia matatizo ya wanafunzi, mi nilipokuwa Rais nilikaribia kununua bastola kwa sababu ya maudhi kuanzia Spika wa Bunge mpaka Menejimenti ya Chuo ni usaliti mtupu!. Hivi hizi fedha za majoho kwanza kuna ulazima gani wa wahitimu kulipia fedha yote hiyo?, afu bado mpaka chenji wanaiba!. Huu ni wizi kama wizi mwingine na kwa kweli Prof. Mlacha ni mwizi sugu na huwa najiuliza hivi asingesoma huyu jamaa angekuwa jela kwa wizi hakyamungu.
Wapo waliorudishiwa elfu 20 zao ingawa kwa kuchelewa so be patient...
Mada mezani ni wizi wa UDOM, siasa inaingiaje hapa? Au siasa kwako ni wizi ni wizi ni siasa? Ndio maana mnaibiwa kwa sababu ya kushindwa kupambanua mamboHata UDSM siasa ipo sema kwamba inatofautiana magnitude tu. Hakuna chuo au taasisi ya serikali isiyo athiriwa na siasa katika nchi hii hata jeshini siasa ipo sembuse UDSM?
Hv joho la kutumia siku moja tu kanini lilipiwe zaidi ya 40000?
gomeni mkiwa majumbani mwenu
Thubutu! Ukiondoka na joho utapata shida kila siku wanadai elfu kumi hivyo ukija kuchukua cheti utalipa kama m hivi! Wao kwa pesa wako choncho kama ma bamaid.Dawa na nyie mkipewa hayo majoho poteeni nayo tu sio kulia lia kila siku, maana gharama ya hayo majoho itaji offset na fedha wanazowadhulum baaaaassss
Hata UDSM siasa ipo sema kwamba inatofautiana magnitude tu. Hakuna chuo au taasisi ya serikali isiyo athiriwa na siasa katika nchi hii hata jeshini siasa ipo sembuse UDSM?
unahisi ila huna uhakika,huku UDSM hakuna upuuzi kama wa chuo chako cha kata-UDOM
ndo mana products zenu huku mtaani wanatiliwa shaka kwa sababu mambo mengi yanaendeshwa kisiasa,karibu UDSM hutakuta upuuzi huu hata siku moja