Melancholic
JF-Expert Member
- Oct 12, 2018
- 3,076
- 5,483
- Thread starter
-
- #201
Daaah ndio ukweli japo mchungu😢 ila nachoshukuru kuwa mama ndio mtu ninaemjali kuliko kiumbe yoyote dunianiVijana saiz akili hamna kabisa et anasema na kusema eti namhudumia kila kitu yan usikute hata mama yake mzazi hafanyi chochote kwake
Kwa kweli kizaz kinapotea kwa kas sn
Huyo mwanamke ana mtu mwingine anaempenda na anampa yote ila hela unatoa kwako
Huyo bado ajawa tayari kuolewaPole ndio ukweli la sivyo anatak amalize kuruka ruka kwanza
Mwambie natak nikuoe nielekeze Nije kwenu kama hataki sitisha huduma tafuta mwingine oa
DuhHuenda mpo wengi, inabidi apange ratiba.
Sawa mkuu but yote hiyo aina haja mimi nimeshaamua kumuachaAu tafuta mtu anaemjua au yupo hapo mtaani kwao tengeneza nae urafiki bila yeye kujua utagundus mengi ukute ana mtuwake amemuahid atamuoa akifika miaka 24 au 25🤣🤣
Alafu mkifika 40+ mnaanza kwenda kulia kwa kiboko ya wachawi muolewe🚮Ifutwe haraka iwezekanavyo, hili tendo linaleta migogoro na mikele sana.
😂😂😂😂🚮Ndoa ni utapeli baba Dickson
Tunza kibunda chako,zingatia sheria mkononi
Epuka UTI sugu
Shenzy wewe 😹Alafu mkifika 40+ mnaanza kwenda kulia kwa kiboko ya wachawi muolewe🚮
Kweli ata mimi nilikua nae kama huyo yeye alikua anataka nimsaidie yeye tu ila kunisaidia mimi hataki na uwezo huo anao nikaona nimteme. Yani ukimuomba sexy anakua mgumu kutoa, Sasa kuna siku katuma sms ya kuniomba pesa nika mjibu pesa zangu zina mambo mengi ya kufanya tokea siku hiyo sikumtafuta wala na yeye haja nitafuta.Tatizo lipo kwako broo.. mwanaume sio kuwa na kikojoleo tu, hebu kuwa na tabia za kiume mbele ya mwanamke. Binafsi ninachokiona ni kuwa jina tabia za kiume mbele ya mwanamke, wewe ni dhaifu sana na mapenzi yatakutesa sana.
Unamuhudumia mwanamke halafu sex unapangiwa bro!!
We ulitakiwa umwambie ukimiomba pesa kila wakati nitazeeka. Wanawake matapeli dawa yao ni kuwajibu ki comedy comedy, kuna mmoja huyo aliniambia ni mnunulie vijora sita na viatu pea tatu nikamjibu unataka kufungua Duka akabakia kujichekesha baada ya kuona kaumbukaYes kila wiki anataka umpe hela ys matumizi hapa penyewe jana kaniomba 30k ya kusuka nikamwambia nitakupa kesho
Aende tu kwao wanawake wamejaa hadi wa buku 3 kwa wale wavivu wa kutongoza.Afu mpo wawili chumbani. Unambaka halafu aende polisi au kwa wazazi akashitaki kuwa amebakwa na mpenzi wake ambaye walikuwa chumbani wote wamelala bila nguo..!!
CC Joanah
Unasoma form ngapi kijana?Wakuu hivi ni sahihi kwa mwanamke ambae ni mpenzi wako unamjali na kumuhudumia kila ila yeye sex anakupangia anasema et inazeesha.
Na kasema atakuwa ananipa tendo kila baada ya miezi 3 au miwili. Mimi nikamuomba walau mara 1 kwa wiki akagoma kabisa
Hivi mtu kama huyu kuna haja gani ya kuendelea nae huu c uhuni kabisa.
Duuh,mpenzi wako unamjali na kumuhudumia kila ila yeye sex anakupangia anasema et inazeesha.
Na kasema atakuwa ananipa tendo kila baada ya miezi 3 au miwili. Mimi nikamuomba walau mara 1 kwa wiki akagoma kabisa
Nimeelewa mkuuDuuh,
Unatuangusha broo.
Inakuwaje unapeleka mboga mahali ambapo hakuna ugali?!!!
Msitishie huduma umwambie unazipeleka unakopewa s£x, period.
Mkuu vip si kasema anakuja kulala kwako sasa una feli wapi mwambie aje Asubuhi unampa nauli tu ndiyo inakua mwisho na mwanzo wa kumtafutaHuo ni ujinga halafu bila aibu anasema et tena hiyo miez miwili atakuwa amenihurumia sana nikaona huyu msenge sema sikumjibu kitu halafu na leo alipanga akitoka job aje kulala magetoni halafu asubuh nimpe hela ya kusuka. Yani nawaza hapa nimfanye nini huyu kiumbe halafu nimkatae mazima