Uhuni katika mahusiano

Uhuni katika mahusiano

Vijana saiz akili hamna kabisa et anasema na kusema eti namhudumia kila kitu yan usikute hata mama yake mzazi hafanyi chochote kwake

Kwa kweli kizaz kinapotea kwa kas sn

Huyo mwanamke ana mtu mwingine anaempenda na anampa yote ila hela unatoa kwako
Daaah ndio ukweli japo mchungu😢 ila nachoshukuru kuwa mama ndio mtu ninaemjali kuliko kiumbe yoyote duniani
 
Pole ndio ukweli la sivyo anatak amalize kuruka ruka kwanza
Mwambie natak nikuoe nielekeze Nije kwenu kama hataki sitisha huduma tafuta mwingine oa
Huyo bado ajawa tayari kuolewa
 
Au tafuta mtu anaemjua au yupo hapo mtaani kwao tengeneza nae urafiki bila yeye kujua utagundus mengi ukute ana mtuwake amemuahid atamuoa akifika miaka 24 au 25🤣🤣
Sawa mkuu but yote hiyo aina haja mimi nimeshaamua kumuacha
 
Temana naye huyo asee huyo sio mwanamke wa kwanza wala wa mwisho
 
Tatizo lipo kwako broo.. mwanaume sio kuwa na kikojoleo tu, hebu kuwa na tabia za kiume mbele ya mwanamke. Binafsi ninachokiona ni kuwa jina tabia za kiume mbele ya mwanamke, wewe ni dhaifu sana na mapenzi yatakutesa sana.
Unamuhudumia mwanamke halafu sex unapangiwa bro!!
Kweli ata mimi nilikua nae kama huyo yeye alikua anataka nimsaidie yeye tu ila kunisaidia mimi hataki na uwezo huo anao nikaona nimteme. Yani ukimuomba sexy anakua mgumu kutoa, Sasa kuna siku katuma sms ya kuniomba pesa nika mjibu pesa zangu zina mambo mengi ya kufanya tokea siku hiyo sikumtafuta wala na yeye haja nitafuta.
 
Huo ndo uwamuzi wa kiume, sisi wanaume kitu pekee ambacho tunafaidika nacho kwa mwanamke ni sex tu. Kama mwanamke anakunyima sex piga chini.
 
Yes kila wiki anataka umpe hela ys matumizi hapa penyewe jana kaniomba 30k ya kusuka nikamwambia nitakupa kesho
We ulitakiwa umwambie ukimiomba pesa kila wakati nitazeeka. Wanawake matapeli dawa yao ni kuwajibu ki comedy comedy, kuna mmoja huyo aliniambia ni mnunulie vijora sita na viatu pea tatu nikamjibu unataka kufungua Duka akabakia kujichekesha baada ya kuona kaumbuka
 
Fanya mpango uipige afu unaicha,huyo hakupendi laiti ingekuwa anakupenda asingekupangia hivyo,tafuta mwingine atakaye kupenda
 
Wakuu hivi ni sahihi kwa mwanamke ambae ni mpenzi wako unamjali na kumuhudumia kila ila yeye sex anakupangia anasema et inazeesha.

Na kasema atakuwa ananipa tendo kila baada ya miezi 3 au miwili. Mimi nikamuomba walau mara 1 kwa wiki akagoma kabisa

Hivi mtu kama huyu kuna haja gani ya kuendelea nae huu c uhuni kabisa.
Unasoma form ngapi kijana?
 
mpenzi wako unamjali na kumuhudumia kila ila yeye sex anakupangia anasema et inazeesha.

Na kasema atakuwa ananipa tendo kila baada ya miezi 3 au miwili. Mimi nikamuomba walau mara 1 kwa wiki akagoma kabisa
Duuh,
Unatuangusha broo.
Inakuwaje unapeleka mboga mahali ambapo hakuna ugali?!!!

Msitishie huduma umwambie unazipeleka unakopewa s£x, period.
 
Huo ni ujinga halafu bila aibu anasema et tena hiyo miez miwili atakuwa amenihurumia sana nikaona huyu msenge sema sikumjibu kitu halafu na leo alipanga akitoka job aje kulala magetoni halafu asubuh nimpe hela ya kusuka. Yani nawaza hapa nimfanye nini huyu kiumbe halafu nimkatae mazima
Mkuu vip si kasema anakuja kulala kwako sasa una feli wapi mwambie aje Asubuhi unampa nauli tu ndiyo inakua mwisho na mwanzo wa kumtafuta
 
Back
Top Bottom